Recent content by Mafuta us kampuma

  1. M

    Hakuna watu wanaopenda kujisifu kama wacheza drafti

    Bingwa wa drafti Tanzania ni mmoja tu anaitwa KASKIO yupo Mwanza
  2. M

    Nyimbo 100 Bora za muda wote mziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva)

    Oy naomba unitumie Kosa la marehemu original version
  3. M

    Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

    Wanauhakika gani kua amekufa ilhali hawajaona mwili wala mabaki ya mwili, yawezekana amefichwa sehemu na wasiojulikana wanamtatua rinda moja baada ya lingine
  4. M

    Mwanga(Mchawi) na MWANGA(TAA)

    Ndugu wana jf kwa wachawi au mchawi yeyote anaesoma uzi huu, naomba anipe uhakika kwa hiki nilichokisikia Leo, ya kwamba " Nikiwasha taa usiku kucha, hakuna mwanga wala mchawi atakaeweza kuingia kwangu ispokua majini na majinamizi tu"
  5. M

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo wa Mr Lenny unaitwa baby girl
  6. M

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwana mnyonge wa fanani na q chilla
  7. M

    Msaada: Kila nikilala niamkapo najikuta nimelalia pua

    Ndugu jamaa na marafiki kwa wenye ufahamu juu ya jambo hili naombeni msaada. Yapata takribani miezi miwili tangu hii hali kuanza kunitokea na ni kila nikilala haijalishi iwe usiku au mchana. #ufafanuzi Yaani kila nikilala pindi nistukapo toka usingizini najikuta nimelalia tumbo, cha ajabu...
  8. M

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna ngoma moja ya hip hop beat lake tu ni sheeda sijui inaitwaje beat linavinanda ...tata Tara tata rara ra rirarira ri rara... Nikumbushe jina niitafute YouTube
Back
Top Bottom