Recent content by MAFILILI

  1. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau wa kushirikiana kilimo cha vitunguu

    Tutafutane mkuu nope contact tujadili namna ya kuyajenga
  2. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau wa kushirikiana kilimo cha vitunguu

    Unamiliki.eneo la kulima?
  3. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania Never give up bring it on

    Mkuu umenikumbusha mbali Sana mwaka 2012-13 sikufuata kanuni #1 hivyo nikaanguka vibaya Sana kibiashara, nitakutafuta huko mbeleni
  4. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

    Mbona nyie watoto wenu wanafanya vizuri kwenye Michezo!! Jikiteni mliko Bora, mwisho maisha ni mapambano ya angle mbalimbali
  5. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

    Mawivu tu yasiyoisha, wakiwa wabunge hivyohivyo!! Hata sifa zao hamuangalii
  6. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kuingia katika kilimo cha biashara

    Asante kwa ujumbe wenye manufaa, ubarikiwe mkuu
  7. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Dereva mwenye leseni

    Kuna dereva mzuri sana na mzoefu lakini ni Mpemba
  8. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke kurejea nchini baada ya miaka 17 ya utumishi wake kwa "mabeberu"

    Mgosi wa Tanga line huyo
  9. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania Huko nje Watanzania tunadhauraulika sana siku hizi

    Tupunguze mawazo mgando, wewe kama unaona unadhauriwa ugenini, rudi nyumbani kumenoga tupo huru, siyo kila kitu wanachoamua mabeberu tunakibeba. Huku kwetu uongozi imara umetumia busara na kuweka mbele maslahi ya wananchi wa Tanzania
  10. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

    Majungu tupu, nyie waalimu chapeni kazi, CCM ipo kikazi zaidi, muachane na matumizi mabaya ya mtandao. Huyo dada anatekeleza ipasavyo sera na ilani ya chama kikamilifu. Muda wa kupiga majungu haupo, kama hauna maslahi na kazi yako, tupishe, waingie watu wenye wito; nyie mnaonekana mmeingia...
  11. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais CCM adhibitiwe kuhusu suala la matumizi ya lugha ya Kisukuma. Mwongozo wa lugha wanaounadi TBC ufuatwe

    Kisheria wagombea au chama kinachoona maadili yamekiukwa kinapaswa kutoa taarifa time ya uchaguzi kuhusu ukiukwaji husika
  12. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania GE2020 Open letter to the National Electoral Commission of Tanzania

    Huyu mbona anapenda kutufuata fuata watanzania ambao tuna nchi huru!
  13. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru inusuru CCM Songea Mjini, msije sema hamkuambiwa

    Wewe acha tabia za kingoni, Songea hatutaki uchonganishi. CCM ni chama makini hatutaki majungu vinginevyo hamia CHADEMA
  14. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania The People's Bank of Zanzibar mjitathmini kitengo chenu cha usalama

    Sheikh wangu hapana kuogopa. Hizi benki zimeshaombewa kwa dua hivyo usiwe na woga kuwa mtulivu, usalama ni mkubwa
  15. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Makonda apewe sasa Ukatibu mkuu wa Simba sc

    Jamani kaweka wazi Makonda awe Katibu Mkuu/CEO
Back
Top Bottom