Recent content by mafikizoloo

  1. mafikizoloo

    Intelligence ya uchumi na ajira

    Changamoto ya ajira ni kubwa kwenye nchi yetu sasa na siku hadi siku hili janga linaendelea kukuwa kwa kasi sana. Ujenzi wa reli ya SGR unaondelea mpaka sasa ni zaidi ya 2,000km kwa zaidi ya Tz 23Trion na imegawa ktk awamu mbili vipande sita. Kandarasi hizi zimetolewa kwa kampuni mbili za kigeni...
  2. mafikizoloo

    Nimegundua mchumba wangu kanisaliti baada ya kuona meseji za mapenzi kwenye simu yake

    Subiri umuwekee kwenye gift box siku ya send off na umsend off kwa wazazi wake siku hiyo hiyo
  3. mafikizoloo

    Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali

    Nasikitika sana kupoteza furaha na Imani kubwa niliyokuwa nayo kwa nchi yangu Tanzania nikiangalia maisha yalivyo magumu na sio kwamba MTU hujasoma. MTU umesoma na umefauli vizuri lkn huna kazi alafu watu Fulani wanajiona ndio wenye Tanzania yao na kupiga ma billions of money alafu watu hao hao...
  4. mafikizoloo

    Mbunge: SGR itajengwa kwa miaka 81

    Ccm haikufikishi popote hapa tunajadili mauozo yaliyoibuliwa na CAG ambayo aliyekuwa anatuaminisha kuwa nyuma tulipigwa na sasa yeye mtetezi anatutetea hatuoni, kificho bado kipo na maisha yamezidi kuwa magumu zaidi na sio swala la uchama maana hizo ni kodi zetu Watanzania
  5. mafikizoloo

    Mbunge: SGR itajengwa kwa miaka 81

    Mkuu, Km202 main way zilizokamilika ni 150km zimekamilika na kati ya 95km za side way hamna hata moja iliyokamilika hapa nazingumzia railway infrastructure bado sijasema kuhusu electrification infrastructure na telecommunications infrastructure na line facilities nyingine. Mradi ulitakiwa kuisha...
  6. mafikizoloo

    Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

    Majambazi waliokubuhu hawajulikani kirahisi kwa kuwa hata Mali zao haziwi na majina yao kutuambia hana pavement nyumbani kwake ndio unamuona hakuwa mpigaji ni ujinga wako maana yote ni kiini macho nani asiyejua alihusika kuuza nyumba za serikali akiwa waziri barabara ya mwendokasi hasara kiasi...
  7. mafikizoloo

    Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

    Tatizo la mwendazake alifikiri nchi hii ni geto la masela akawa anaendesha nchi kama geto lake na hakutaka kuhojiwa na MTU yeyote. Nahii inathibitishwa na wateuliwa wake hawakupewa nafasi ya kusikilizwa wala kumshauri na ndio maana tunashuhudia mabadiliko kwenye nafasi nyingi za uongozi.
  8. mafikizoloo

    Baada ya kubainika ufisadi wa kutisha, anataka kujifichia kwenye Mradi Bandari ya Bagamoyo?

    Mkuu mambo ni ya ovyo huko serikalini hamna haja ya kuwa na serikali kama MTU mwenye dhamana ya kuisimamia serikali unasema eti alishauriwa vibaya wewe ulikuwa wapi wakati unalipwa kwa kazi hiyo.
  9. mafikizoloo

    Baada ya kubainika ufisadi wa kutisha, anataka kujifichia kwenye Mradi Bandari ya Bagamoyo?

    Ndugu zangu haya yaliyoibuliwa na CAG ni machache ya mengi ya yanayoendelea humu nchini kwa mfano nikizungumzia miradi ya maendelee hususani mradi wa reli ya SGR kuna madudu ya kufa MTU nikianza tuu na maswala ya rasilimali watu waturuki waliokuja hawajui kitu. Kuna makampuni Tanzu (sub) hazina...
  10. mafikizoloo

    Baada ya kubainika ufisadi wa kutisha, anataka kujifichia kwenye Mradi Bandari ya Bagamoyo?

    Kwa hiyo hapa unataka kuniambia Professor Assad alikuwa sahihi???
  11. mafikizoloo

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Ajira ni kero na inauma zaidi kuona wageni wengi wakifanya kazi bila vibali vya kazi wanachukua nafasi zetu pia serikali haipati kodi
  12. mafikizoloo

    Natafuta soko la tangawizi

    Unauza bei gani kwa kg?
  13. mafikizoloo

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Kwa jinsi hawa jamaa wanavyolipana mishahara mikubwa alafu wengine tumesoma ma degree yetu tena ya Engineering na Medical na kwa garama kubwa lkn bado tunasota mitaani hatuna kazi ili hali taasisi kibao zinauhitaji lkn hawawezi kutuajiri kisa tuu Hamna fungu LA kutulipa. siku mungu atakapo...
  14. mafikizoloo

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Hata kama angepewa tsh 100000 (laki moja kwa mwezi) bado ingekuwa nyingi sana kwa hayo marupu rupu anayoyapata.
Back
Top Bottom