Intelligence ya uchumi na ajira

mafikizoloo

Member
Oct 13, 2018
19
15
Changamoto ya ajira ni kubwa kwenye nchi yetu sasa na siku hadi siku hili janga linaendelea kukuwa kwa kasi sana. Ujenzi wa reli ya SGR unaondelea mpaka sasa ni zaidi ya 2,000km kwa zaidi ya Tz 23Trion na imegawa ktk awamu mbili vipande sita. Kandarasi hizi zimetolewa kwa kampuni mbili za kigeni nyakati tofauti tofauti ikiwa kipande cha kwanza kina jumla ya 300km na ya pili ikiwa ni 422km.

Nini kilishindikana katika awamu ya kwanza hata na ya pili kutumika kama case study kwa wahitimu wetu wa vyuo vikuu na kati na kwa kandarasi ya ndani kujengewa uwezo ili waweze kutekeleza awamu nyingine?

Kuliko hivi sasa tunatengeneza ajira kwa wageni huku wazawa wa vyuo vikuu wakiambulia 20% tuu ya ajira yaani kati ya watu 10 watu 2 tuu ndio wanatakiwa kuwa wazawa na huku watu 8 wakiwa wageni. Vipande viwili vyenyejumla ya 722km vimeshindwa kutosha kujifunzia na kuweza kuchukua wataalamu wachache kutoka nje na kuwaajiri kwenye kampuni yetu ya ndani?
 
Back
Top Bottom