mimi ninachokifahamu ukifikisha kuanzia asilimia 70 unaitwa kwenye saili zao kama una sifa za nafasi ya kazi husika. ila pia kama kuna changamoto inakukatiza unaweza kuwapigia simu zao za mikononi wamekuwa wakizitangaza mara kadhaa, au kuwatembelea pale maktaba kuu ya taifa gorofa ya pili wako...
hongera sana kaka, najua kwa post hii wapo tutakaokupongeza wapo watakaokudhihaki na kukukatisha tamaa, ila usiache kumpenda mkeo zaidi na zaidi kumtanguliza Mungu ili azidi kuwaimarisha katika ndoa yenu leo mmetimiza miaka mitatu Mungu awatangulie msherehekee miaka 75 ya ndoa. hongereni sana sana.
jamani huo usaili wa TRA kwa kada zote zilifanyika katika maeneo tofauti nchi nzima kwa kanda kama ratiba yao ilivyoonyesha kama mimi ni miongoni mwa niliofanya huo usaili tena niliitwa nafasi tatu tofauti na niliziomba zote na mimi sehemu niliyofanyia walitupa maelezo kwanini usaili unashindwa...
Baadhi ya watanzania tuna matatizo ya kupenda kusema, kuandika pasipo kufanya utafiti sasa kosa langu lipi la kuamua kuipongeza Sekretarieti ya Ajira na nimetoa sababu zangu za kuipongeza nashukuru wapo walioipongeza na hoja zao na wapo waliotoa maoni yao hasi kwa hoja sasa kweli mtu umeandika...
Nimefikia hatua hii kwakuwa nimeona mabadiliko makubwa sana tangu kusitishwa kwa ajira na hivi sasa vibali vilipoanza kutolewa na serikali kwa ajili ya kuajiriwa watumishi wapya ndani ya utumishi wa umma kwa ujumla.
Hivi sasa tangazo la kazi likitoka hawakai nayo tena yaani baada ya wiki tatu...
acha kucheza na maisha ya watu usitafute umaarufu kwa njia hii, Serikali ina taratibu zake za kuwasiliana na Umma kwa taarifa nzito kama hii sio kwa kuandika kwa kukurupuka kwako uwe makini haya ni maisha na usipende kucheza na vitu vya Serikali kwa kuvitolea maneno usiyokuwa na uhakika nayo...
jamani tusipotoshane hili zoezi la uhakiki wa vyeti ni la watumishi wote wa umma na si walimu pekeyao na ni vyema tukajijengea utaratibu wa kuuliza au kusubiri mamlaka zenye dhamana ya jambo fulani zikatoa ufafanuzi kuliko kuandika uongo haipendezi machoni na rohoni mtu mzima kuandika ama...
Happy awali ya yote napenda kukupa pole kwa changamoto unazozipitia, maana inaonyesha umeandika hapa kupata mawazo/ushauri ila umeandika ukiwa umekwazika jambo rohoni mwako ndio maana umefikia hatia ya kumwita shemeji (lijitu). mpenzi ndoa ndio maana ikaitwa ndoa, na ndio sababu ni sehemu pekee...
mtoa mada hajajipanga, maana anapogeza na kuwaambia utumishi waige PPRA wakati kazi ya shortilist hiyo imefanywa na haohao utumishi? hata kama huwapendi utumishi wape sifa zao pale inapobidi
jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hatua ya kwanza waliyochukua ni kuwazuia kuingia katika utumishi wa umma na hatua nyingine ni kuwasiliana na mamlaka husika ambapo watuhumiwa wamedai kuvipata, maana wao ndio sheria yao natoka hadi namba ya kumwadhibu aliyegushi ili waweza kuchukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.