Recent content by maengo2001

  1. M

    TOYOTA Passo inatakiwa haraka

    Nipigie 0789262872
  2. M

    Nani anauza Toyota Vitz jamani

    Ipo manual nicheki 0789262872
  3. M

    Wakazi wa mkoa wa Kilimanjaro!!

    Bangi,mirungi na viroba
  4. M

    Mjadala: Kuhusu Uchaguzi wa Zanjadala - Humphrey Polepole na Ismail Jussa

    Hata mimi simpendi coz anajifanya mjuaji wakati ni shuleless!
  5. M

    Familia ya Gwajima yaja juu kwa udanganyifu wa Askofu Gwajima

    Hao watoto nadhani nao wana matatizo,walishaona wapi mtu amefufuka?hiyo ilikuwa ni namna ya kuwatuliza wasilie na kuwaondolea majonzi
  6. M

    Tutakusaidia kusajili jina la biashara, kampuni, NGOs, Shule kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi

    Kuna mtu anataka kusajili shule,wasiliana nami kwenye maengo2001@yahoo.com nikute deal
  7. M

    Kippi Warioba jiheshimu

    Hii ni hatari sana,hata mimi nimetumiwa ujumbe,nawasiliana na wanasheria ili nifungue kesi ya kuingiliwa privacy!
  8. M

    iCloud: Ni vipi naweza kuondoa kwa simu?

    Hiyo ya wizi,mpaka ujue password au upate mtu mwenye kulipia itunes akufungulie.Tupa hilo ni kopo tu
  9. M

    Baa zenye mademu bomba Dar

    Watu wengine wehu,sasa hii ndiyo post gani!
  10. M

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini, Amani Walid Kabourou akataliwa mbele ya Dr. Magufuli

    Ni kweli kazomewa,nipo uwanjani,Magufuli anahutubia wananchi wanaitikia ccm hoi...jina la Lowasa limetawala kwenye miitikio ya wananchi
  11. M

    90% ya wasanii kuiunga mkono CCM kwa hoja za kipuuzi ni dhahiri kuwa hawana uhuru

    Tatizo la wasanii wa bongo ni shule,wengi wameishia darasa la nne....hawana upeo wa kufikiria maisha zaidi ya ngono na pombe....mi huwa sisikilizi wala kuangalia kazi zao!Ndoroooooooboo!
  12. M

    Karibu viwanja vya mashujaa Moshi (Uzinduzi wa kampeni CCM) 05/09 2015

    Annael hukai moshi japo una jina la kichaga..moshi na Mosha wapi na wapi??
  13. M

    Karibu viwanja vya mashujaa Moshi (Uzinduzi wa kampeni CCM) 05/09 2015

    Moshi pagumu sana..Ndesa alishajenga mizizi kuing'oa haihitaji pesa tu ya kulipa vibarua kuitoa..ila ridhaa ya vibarua hao!best wishea Dav!!
Back
Top Bottom