Wakazi wa mkoa wa Kilimanjaro!!

Mr Miyagi

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
935
1,662
Hivi kwanini wakazi wengi wa mkoa wa Kilimanjaro (Ingawa sio wote) wana meno ya brown na macho ya brown kama sio mekundu?.....
 
we endelea kuangalia meno tu....wenzio tunachojali
1. Pesa
2.Kurudi na mandinga ya maana home haswa december 25.
3.Kuweka moshi yetu katika hali usafi!! njoo tembelea moshi ujionee maajabu, mji msafiiiiii KAMA ULAYA VILE!!!
4. Na zaidi ya yote tunajivunia kuwa moja kati ya mikoa iliyoonye nia thabiti ya kutaka mabadiliko hasa katika uchaguzi wa mwaka huu!!!

SIKU UKIJA MOSHI USIJE LOGWA KUTUPA GANDA YA VOCHA AU KUTEMA MATE CHINI MAANA UTAPIGWA FAINI YA 50000/=!!!
BTW Ushajiuliza kwanini moshi mjini kuna benki nyingi sana tofati na mikoa mingine??

KARIBU SANA MOSHI MJI WA WAGUMU, WASAKA PESA!!!
 
Kama umemaliza kidato cha nne naomba kujua shule uliyokuwapo na mkuu wa shule. Then nitajua namna ya kukujibu.
 
we endelea kuangalia meno tu....wenzio tunachojali
1. Pesa
2.Kurudi na mandinga ya maana home haswa december 25.
3.Kuweka moshi yetu katika hali usafi!! njoo tembelea moshi ujionee maajabu, mji msafiiiiii KAMA ULAYA VILE!!!
4. Na zaidi ya yote tunajivunia kuwa moja kati ya mikoa iliyoonye nia thabiti ya kutaka mabadiliko hasa katika uchaguzi wa mwaka huu!!!

SIKU UKIJA MOSHI USIJE LOGWA KUTUPA GANDA YA VOCHA AU KUTEMA MATE CHINI MAANA UTAPIGWA FAINI YA 50000/=!!!
BTW Ushajiuliza kwanini moshi mjini kuna benki nyingi sana tofati na mikoa mingine??

KARIBU SANA MOSHI MJI WA WAGUMU, WASAKA PESA!!!

Mwambie sio ganda tu mkuu hata akidondosha noti ya elfu 10 atapigwa fain anachafua mazingira
 
teh teh teh wachaga mbele kwa mbele mtazidi kututukana kila aina ya matusi sisi tunasonga mbele. karibu machame

Peace sana!Nawakubali sana mko "Mahustler" sana ila punguzeni Ujanja ujanja na dhuluma
 
We unachanganya,wenye mimeno mibovu sio watu wa kilimanjaro,ni watu wa arusha ndo wana minjino mibaya na hali hyo inachangiwa na maji kuwa na calcium nyingi,afu pia bangi,mirungi na viroba nayo ni sababu nyingne ya mimeno yao kuwa michafu.
 
Back
Top Bottom