Nyalandu akiwa Waziri wa Maliasili 2014 alikaa uso kwa uso na Stephen Sackur kwenye Hard Talk. Jamaa Nyalandu ana English imenyooka safi na by then nilikuwa nje ya Tz kwa ngeli yake jamaa aliniinua sana mbele ya wale wenyeji wa nchi ile
Kwa kiingereza inaitwa "last respect" kama unaona haina maana ni sawa waachie wenyewe. In addition waweza kuandika wosia usiagwe
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.