Kwa anayeweza kuifanya Xiaomi mi 5c kushika 3G au 4G

Maega

Senior Member
Jul 10, 2010
156
30
Kwa wanozifahamu Xiaomi ni simu za China (wanaziita Chinese apple) mi nina "Xiaomi mi 5c" lakini tangu imefika hapa Tz imekataa kukamata 3g au 4g, msaada plz wa kufix hii mambo
 
angalia vizuri hapo nilipokueleza hilo ni jina tu la jumla kunakuwa na model namba
Screenshot_2017-05-17-15-02-37-028_com.android.settings.png
 
kama ulivyoambiwa hapo juu ficha imei, sikukuambia uzitume humu sababu ya usalama wako, si kila mtu ana nia nzuri.

kuhusu hizo bands hapo una 38,39,40 na 41. bahati nzuri mtandao wa smart unatumia band 40

nenda ofisi za smart wakakusajilie line yao ya 4G, ila sifahamu unapoishi kama itakuwa inashika hio 4G ila sio mbaya kujaribu.
 
Thanx.

Hivi hakuna uwezekano wa ku-unlock hizo frequency bands simu ikaweza kuzi-access??
Simu yako haina FDD bands hivo hauwezi tumia mtandao wa 4G isipokua Smart.

Kuhusu kushika 3G nenda kwenye Mobioe networks then Network Types Set 3G Only au WCDMA Only
 
Mkuu Simu yangu ya 3G naweza kui upgrade ikashika 4G?
Haiwezekani mkuu hiyo!

Ni kitu ambacho kipo kwenye Hardware support!

Simu kama ina 4G support basi ni wewe kuweka Line ya 4G then uka Switch Network Type kuja option ya LTE
 
Back
Top Bottom