Deepness, speed and acuracy of thinking in relation tu ur age ndo vitu vinavyotumiwa kupima iq mkuu kiasi kuwa hata mtoto wa miaka 8 anaweza mshinda mtu wa 20 year. Kuna free test ya iq online unaweza jaribu.
Jamaa yupo correct some how pia nasisitiza kuna jamaa alisisitiza kuwa wana jf tujitahidi kuwa open minded tusilalie upande mmoja sana kuwa tunasuport hoja kwa sababu zimebase katika chama tukipendacho hata kama hazina msingi au kucrush hoja za chama kingine hata kama ni za msingi. Wote tupo...
Hoja yako imesimama mkuu hatutakiwi kuwa na ubongo kama majahazi yanayosubiri upepo ndo yajue mwelekeo. Tufikirie jamani mwanamke asikugombanishe na wazazi
Hapa mimi kama kichwa kimejam hivi wakuu.
Kina ben saa8 walitumika na zitto kumhujumu slaa
ben saa8 akatumwa na slaa kumpa sumu zitto
lakini zitto anasema hamjui ben hta kwa sura. Nani mbaya hapa?
Kweli jabulani, yanini kukaa na bomu ndani? We are for future ha2ishi kwa historia. Zitto aweke habari nzima mezani wadau wamuelewe otherwise aende ccm cz hatuna trust nae tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.