Recent content by Madoido

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Lakini hawa watoto nao wamezidi muda wote nikuchat tu na hii digitali ndio balaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania NAUZA HTC TOUCH PRO 2 na IDEOS

    Mzigo upo? Ni pm
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa sh. 13 mil.

    Picha picha picha tafadhali
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Kweli watu ni kama wapo kwenye mshangao, na hata yale mahosteli yatakuwa na watu wachache, na zinginhata wanafunzi watakuwa waoga au wanaweza fanyiwa kitu mbaya kirahisi zaidi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Wadau hawa watoto wote wamefeli mbona ni kama form five hali itakuwa mbaya zaidi, madarasa yatakuwa wazi, na kwa wale vilaza ndio itakuwa tabu mara tatu..nyie mnasemaje?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na Unywaji Pombe

    Basi haina mjadala, imepita ukiwa umelewa
  7. M

    JamiiForums Tanzania mfalme mswati wa bongo mwingine,ukitoa yule niliowai muweka

    Kila mtu atavuna anachopanda
  8. M

    JamiiForums Tanzania Niaje niaje, Pozi kareeeee

    Eti akichanika, we hujui wanawake nini? ngozi yao ni plastik, ni zaidi ya uaonavyo hao viumbe
  9. M

    JamiiForums Tanzania BB 9780(white) na BB torch 2(black) on SaLe

    napenda hiyo 9780, nipe bei ya mwisho, na upo wapi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: BIASHARA YA MAGAZETI KWENYE MKUTANO WA NEC YA CCM DODOMA Monday, February 11, 2013

    aaahh magamba? Mungu ibariki Tanzania na uwabariki watu wake.Amen
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Maandamano na Mkutano wa Wapinzani Jijini Dar - Feb 10, 2013

    T2015cdm.hakuna mjadala kuhusu hilo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kiroba kimewauwa vijana wengi na ugumba

    mwanahisa mwambie huyo ajui kiloba kinaleta heshima ya kitanda?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Undungu/urafiki wa wakati wa shida tu

    jf members hivi inakuwaje ndugu,marafiki ambao wanaonekana kwako na kwa unyenyekevu wa hali ya juu PINDI WANA SHIDA TU.SASA NAJIULIZA WAKATI WANAPESA ZAO INA MAANA WANAENDA KUENJOY NA WATU WAO WENGINE AU INAKUWEJE? USHAURI
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pikipiki zilizotumika zinauzwa

    mwaka mmoja private
  15. M

    JamiiForums Tanzania Shy-Rose Bhanji, my Mum is from Mara..I'm proud to be of mixed race!!

    hivi huyu mdada ataolewa lini,tumechoka kumuona peke yake,hata kama akivaa dhahabu hamna heshima
Back
Top Bottom