Kiroba kimewauwa vijana wengi na ugumba

Kiroba kimewauwa vijana wengi na ugumba

tutoke

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
47
Reaction score
13
jamani serikali ingelitazama sana hili swala la kiroba .unakuta kijana asubuhi anasema anatoa lock .dereva wa hiache nae anatoa lock asubuhi ..serìkali ifute kiroba pombe iwekwe kwenye chupa na bei itamlimit mtu kunywa kila mara
 
Hizi ni enzi za uhuru, Uhuru hata wa kuchagua kujiua polepole kwa ulevi.
 
unazungumzia ujazo au ubora,mpe maskini pombe asahau shida zake.
 
mwanahisa mwambie huyo ajui kiloba kinaleta heshima ya kitanda?
 
haya pungezeni stress na huku mna ua ndugu zenu ..
 
jamani serikali ingelitazama sana hili swala la kiroba .unakuta kijana asubuhi anasema anatoa lock .dereva wa hiache nae anatoa lock asubuhi ..serìkali ifute kiroba pombe iwekwe kwenye chupa na bei itamlimit mtu kunywa kila mara

Hizi pombe tulitegemea ziuzwe kwenye ma bar, grocery na maduka maharumu ya pombe, lakini siku hizi pita kariakoo saa 12 asubuhi utaona viroba vimepangwa kwenye meza barabarani.

Kweli ulevi noma!!!
 
Hizi pombe tulitegemea ziuzwe kwenye ma bar, grocery na maduka maharumu ya pombe, lakini siku hizi pita kariakoo saa 12 asubuhi utaona viroba vimepangwa kwenye meza barabarani.

Kweli ulevi noma!!!

Kyenju

Ni kama vile sheria ya vilevi haihusiani na hii kitu....popote pale vinapatika iwe kwa wauza karanga, duka la hardwares, kwa wauza vitenge, wauza change, vibanda vya kutuma pesa, wauza magazeti, mama ntilie, mafundi viatu etc etc
Ni popote na muda wowote ule, hii si sawa. Udhibiti unahitajika.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna ushauri wowote wakiganga unao kataza mtu kunywa pombe za viroba bali inakatazwa ku zidisha tu kwani kila kitu lazma utumie kwa kadiri.
 
Back
Top Bottom