Pikipiki zilizotumika zinauzwa

Pikipiki zilizotumika zinauzwa

Madoido

Senior Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
134
Reaction score
15
Wadau boda boda (pikipiki zilizotumika aina ya t-better na sanlg zinauzwa. Zipo katika hali nzuri na zipo dar es salaam. DOCUMENT ORIGINAL ZOTE ZIPO,,Kwa wanunuzi ni pm
 
Weka pic na bei na cm yako mtu akipenda anakupigia
 
Duh hi ndo bongo, "Akili kumkichwa"! Twende tukazikague polisi ndo tufanye biashara......:confused2:
 
Wala hazina shida yeyote kuhusu umiliki wake, polisi tunaweza kwenda kwa ajili ya uhakiki
 
Wadau boda boda (pikipiki zilizotumika aina ya t-better na sanlg zinauzwa. Zipo katika hali nzuri na zipo dar es salaam. DOCUMENT ORIGINAL ZOTE ZIPO,,Kwa wanunuzi ni pm

mmmh mi nilijua za Kijapan hapo ndugu unauza shipa
 
Milioni moja laki moja kila moja unaongea kidogo
 
tiqo, wala sio shipa na vitu vizuri tu unaweza ukafanyia biashara au ukatumia binafsi
 
Zimetumika muda gani? Nazilekubwa au vile vidogo
 
Naomba muelewe, hizi pikpiki ni nzuri na kwa hiyo bei unaongea kidogo, mtu aambaye yupo serious anipigie na aje kuziona
 
jamani foleni zimezidi mjini hapa, chukueni usafiri huu
 
Unauza au blabla mana nimekuliza zinamudagani tokea zinunuliwe dukani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom