- Thread starter
- #21
Nini hatima hatima ya huyo mpangaji?
Mpangaji taarifa anayo, akipatikana mnunuzi kodi iliyobaki atarudishiwa atafute sehemu nyingine ya kupanga, kama mnunuzi atataka aendelee kupangisha basi watanegotiate nae aendelee kupanga chini ya mmiliki huyo mpya.