Recent content by Madish Installers

  1. Madish Installers

    Tunafunga Electric Fence, Tsh 19,000 kwa square meter 1

    MaDish Installers Tunafunga mifumo ya ulinzi kwa kutumia:- CCTV cameras Electric fence Alarm system Intercom Na mengineyo na wakati huu tuna punguzo maalum kwenye kufunga Electric fence kwa Tsh 19,000/= kwa square meter 1, tunafanyakazi mikoa yote Tanzania. Pia tunafunga mfumo wa TV...
  2. Madish Installers

    Msaada tutani kuhusu malipo ya faini ya gari

    Receipt nnayo Ila kama Sina maana imefutika kinachosomeka ni NMB wakala Tena ukiigeuza kwa nyuma ni TSH 120,000 hivyo naona kama nitafute kama kuna solution kabla ya kuamua kulipa tena..
  3. Madish Installers

    Msaada tutani kuhusu malipo ya faini ya gari

    Habari wadau! Hivi ikitokea gari imeandikiwa then ukalipa kwa kutumia wakala wa bank, baadae kama miezi minne unakamatwa gari inadaiwa deni lile lile ni nini unapaswa kufanya? Receipt ipo ila imefutika maandishi..
  4. Madish Installers

    Kwanini dish (king'amuzi) chako kinasumbua signal mara kwa mara!?

    OFFER YA DSTV MSIMU WA SIKUKUU Tsh 79,000 Vifaa vyote. Kifurushi cha 29,900 Usafiri bure Kufungiwa Tsh 20,000 Piga +255784378129
  5. Madish Installers

    Mwenye bei mpya ya vifurushi vya Dstv anisaidie!

    Ikiwa decoder yako inadai ku update nawe una cancel ni tatizo mpaka kutokea vile vitu vya kisasa kutokuwepo.. inapaswa uiscan upya decoder yako n zitaingia..
  6. Madish Installers

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Jipange tukuuzie dstv ama azam tv maana ndo ving'amuzi vinavyoeleweka!
  7. Madish Installers

    Fahamu jinsi ya kuhama kifurushi kwenye Azam TV

    Zipo kama kawaida cha kufanya search upya!
  8. Madish Installers

    Fahamu jinsi ya kuhama kifurushi kwenye Azam TV

    Hakuna na nafikiri ndio nzuri unakuwa umeepuka usumbufu!
  9. Madish Installers

    Fahamu jinsi ya kuhama kifurushi kwenye Azam TV

    Vifurushi vilivyopo: - Tsh 10,000 lite - Tsh 18,000 pure - Tsh 23,000 plus - Tsh 28,000 play Washa king'amuzi chako kisha ndipo ufanye malipo! Ikiwa upo kifurushi kidogo hakijaisha mf: Tsh 10,000 na unataka kuongezea hela ili upate kifurushi kikubwa cha Tsh 18,000 LAZIMA iwe umelipia Tsh 10,000...
  10. Madish Installers

    TCRA tazameni sasa hawa Dstv

    Kifurushi kikiisha TBC1 inabaki na ikitokea kwako inakata ni issue ya system kufail.. unachopaswa kufanya ni kupiga huduma kwa wateja wanaifungua dakika hiyo hiyo!
  11. Madish Installers

    Startimes kupandisha vifurushi maradufu ifikapo tarehe 21 Septemba

    Mimi nipo kwenye ukanda wa ving'amuzi sio kama nadeal na azam tv tu nadeal na vyote ila kwenye ubora kwa experience yangu ni:- 1.DStv 2.Azam tv 3.Startimes Wengine wanasindikiza
  12. Madish Installers

    Startimes kupandisha vifurushi maradufu ifikapo tarehe 21 Septemba

    Kama gangaa wenye dstv wanasahau maana ilishaonyeshwa kitaambo! Startimes ndo wanauza now dah!
  13. Madish Installers

    Startimes kupandisha vifurushi maradufu ifikapo tarehe 21 Septemba

    Hupati hata 1 mpaka kwenye 18,000 ama Tsh 7,000 kwa week
Back
Top Bottom