mecobank teller anapata milioni basic salary akikatwa anaondoka na laki saba....sales officer anapata basic 1.7m ambayo net ni 1.2m maybe kinachokwamisha tu hapa ni kuwa no other benefits kiivyo but salary ok. i meant ECOBANK
mecobank teller anapata milioni basic salary akikatwa anaondoka na laki saba....sales officer anapata basic 1.7m ambayo net ni 1.2m maybe kinachokwamisha tu hapa ni kuwa no other benefits kiivyo but salary ok.
nninaiona sura ya raisi akitoa kauli....tena atatumia maneno yale yale 'watanzania tuwe watulivu na tuache vyombo vya dola vifanye kazi yake'kesho yake kimyaaaa lakini ndugu yangu aliyekuwa anasali leo yupo hospital anapigania uhai.....haya mambo ni kama mvua yalianza kama mawingu ina mana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.