Simba v Ruvu Shooting - May 05, 2013

Simba v Ruvu Shooting - May 05, 2013

Hahahaha, gunia la misumari hilo, yeye mwenyewe kaiba anataka akupe wewe kubeba.

Umeona enheee? Na bado ananiandama tu, ngoja niwe mpole tu watu wanaoishi nje ya mji kama Chamazi wana msongo wa mawazo sababu ya foreni za magari.
 
Dak. 86 Simba wanatakata, Simba 2-1 Ruvu Shooting, Edward, C.
 
Dak. 86 Simba wanatakata, Simba 2-1 Ruvu Shooting, Edward, C.

Afadhali maana nilishakata tamaa na kuanza kusikiliza nyimbo za choir. thank you very much for this useful post. au kwa kifaransa tunasema obeja sana gwenha gamhayo gang'hana.
 
Full time Simba 3-1 Ruvu Shooting, hongera Simba kwa kukalia nafasi ya 3 kama mabao yenu ya leo.
 
Hongereni Lunyasi. Kwa kasi hiyo ya kutupia mabao dk za mwisho, ni wazi mna mazoezi ya kutosha. Yanga wajiandae kwa dozi kama hiyo.
 
Naona mwenendo wetu wa ligi kama reverse ya graph ya normal distribution, waliosoma hesabu au takwimu watakuwa wanaijua hii graph.

Normal Distribution ina umbo la kengele (Bell shape), reverse yake ni kama parabola yaani Simba wameanza kwa mafanikio ya juu, muda ulipokuwa unaenda wakaanza kudorora, kiasi cha kufifia kabisa, wanapokaribia mwisho mafanikio yameanza kupanda tena. Mei 18 tunaitibua hii graph kutoka juu hadi chini.
 
Back
Top Bottom