Recent content by madeinmusoma

  1. madeinmusoma

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nishawauri tu kumtenga Man City
  2. madeinmusoma

    JamiiForums Tanzania Je mayai ya nyoka yakiwa fresh yanafaa Kwa kitoweo?

    Sio kuyakaanga lakini, yachemshe tu tu kama ya kuku.
  3. madeinmusoma

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli huu mchongo wa mtandao uitwao VGM ni halisi?

    Tayari huko VGM ishawaliza 😂
  4. madeinmusoma

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna tukio??
  5. madeinmusoma

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimefungiwa Whatsapp account yangu

    👊🇨🙏🏻
  6. madeinmusoma

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimefungiwa Whatsapp account yangu

    Nakusadia tu kuandikia email ☹️ Subject: URGENT REQUEST FOR REVIEW AND REINSTATEMENT OF BANNED WHATSAPP ACCOUNT Dear WhatsApp Support Team, I hope this message finds you well. I am writing to express my concern and seek your assistance regarding a significant issue that has arisen with my...
  7. madeinmusoma

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Umesemaje kuhusu Dortmund?
  8. madeinmusoma

    JamiiForums Tanzania Hebu wana Simba SC tuacheni Utani, Unafiki na Uongo. Kuna anayependa kweli tukutane na Yanga SC Robo Fainali ya CAFCL?

    Wakiweka majini pembeni, mapema tu wanakaa
  9. madeinmusoma

    JamiiForums Tanzania Balaa la mti huu

    Naambiwa mti huu wa mpangazi uzazi ni hatari sana unapokuwa kwenye mazingira ya nyumbani. Kama kuna mwana JamiiForums anafahamu tafadhari atufafanulie.
  10. madeinmusoma

    JamiiForums Tanzania Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

    Huko Bukoba ndani ndani kuna aina ya limbwata linaitwa Shuntama ni hatari sana.
  11. madeinmusoma

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah mikeka inachanika [emoji24]
  12. madeinmusoma

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya watu 17 Musoma mwaka 2010

    Wakajitokeza kina "mura" wakiwa na mapanga. Ndani ya dakika tano wale vijana wakawa wamechanganyika na nyama waliyowinda. Haikujulikana ipi nyama ya nungunungu na ipi ni nyama za wale vijana watatu
  13. madeinmusoma

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wadau naombeni odds
  14. madeinmusoma

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Simba SC yamtambulisha Mshambuliaji hatari raia wa Serbia

    Huyu jamaa ni noma sana, anapigaga penalty kwa kichwa, pia aliwahi kutoa assist akiwa jukwaan
Back
Top Bottom