Hebu wana Simba SC tuacheni Utani, Unafiki na Uongo. Kuna anayependa kweli tukutane na Yanga SC Robo Fainali ya CAFCL?

Simba sio mbovu kama mnavyofikiri ni kwamba ligi ya Bongo imekua sana , Simba ukimuangalia kinyumbani ni mbovu lakini kimataifa bado yuko vizuri sababu ligi yetu iko juu sana sasa hivi.

Mechi ya Simba na Yanga ni ngumu tu hata mmoja akiwa mbovu. Simba ashamfunga Yanga 6 ,5 na Yanga ashamfunga Simba 5-1 lakini mechi yoyote ya Timu hizi huwezi tabiri kirahisi mshindi .
 
FB_IMG_17065284074897801.jpg
 
Binafsi nisiwafiche kwani sitaki na wala sitamami kwa sasa kwani Kiufundi kwa sasa Simba SC hatuna Kikosi
Nimesoma comments zote na nikagundua kuwa sisi mashabiki wa daima mbele nyuma mwiko hatujachunguza na kubaini kitu kuhusu mtoa mada amejitolea kututukana kwa rejareja.

Binafsi sikubaliani kabisa na hoja za huyu popoma.

Wana Yanga wenzangu tuweni macho maadui ni wengi.
 
Back
Top Bottom