Recent content by Madear

  1. Madear

    JamiiForums Tanzania Tujifunze na Kuanza Utamaduni Huu Mpya wa Ufugaji Samaki

    Gharama inategemea na size, ulitaka bwawa lenye mita za mraba ngapi Mkuu? Ukitunza vizuri lina uwezo wa kudumu zaidi ya miaka 5, uimara unategemea na thinkness ya hiyo nylon, kuna 0.5mm, 1mm na 1.5mm Bei yake ni Tsh 7,500/m²
  2. Madear

    JamiiForums Tanzania Tujifunze na Kuanza Utamaduni Huu Mpya wa Ufugaji Samaki

    Ndio kufanya installation inawezekana, samaki awahitaji chanjo kama kuku ni nadra sana kuona samaki wameugua
  3. Madear

    JamiiForums Tanzania Tujifunze na Kuanza Utamaduni Huu Mpya wa Ufugaji Samaki

    Hapa unaweza kuweka samaki 100. Kiasi/idadi ya samaki sio constant, idadi ya samaki inategemea vitu viwili ujazo wa maji na inategemea na uwezo wako wa kudhibiti ubora wa maji, hivi kwa pamoja ndio vita determine uweke idadi gani ya samaki Sishauri sana matumizi ya tank, nashauri zaidi njia ya...
  4. Madear

    JamiiForums Tanzania Tujifunze na Kuanza Utamaduni Huu Mpya wa Ufugaji Samaki

    Ndio najua na kwa sasa niko Dar kwa sasa ila naweza fika sehemu yoyote ukinihitaji huduma.
  5. Madear

    JamiiForums Tanzania Tujifunze na Kuanza Utamaduni Huu Mpya wa Ufugaji Samaki

    Gharama kwa system kama hii haipo constant inategemea na mazingia unapochukulia materials ila wastani ni Tsh 300,000 hadi 500,000. Hii inajumlisha gharama zote kuanzia tank, pvc pipe, filter n.k
  6. Madear

    JamiiForums Tanzania Tujifunze na Kuanza Utamaduni Huu Mpya wa Ufugaji Samaki

    Ni kawaida sana kuona watu wakifuga kuku, ng'ombe, mbuzi, nguruwe, n.k. Lakini ni nadra sana kuona watu wakifuga samaki licha ya kuwa mazingira yetu yanafaa sana kwa shughuli za ufugaji samaki kutokana na kuwepo kwa maeneo yenye maji ya kutosha na hali nzuri ya hewa. Baadhi ya mataifa kama China...
  7. Madear

    JamiiForums Tanzania Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Shukrani sana kwa kushare na sisi mkasa huu wa kusisimua
  8. Madear

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

    Sanaa.... Nashukuru kwa kunisogezea hii burudani
  9. Madear

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

    Huu wimbo unaitwaje?
  10. Madear

    JamiiForums Tanzania Wale tunaotafuta ajira na kutoa ajira tukutane hapa

    Mimi kitaaluma ni Bwana Samaki (aquaculturelist) natafuta kazi, kimsingi natoa huduma ya ushauri na usimamizi kwa watu wanaotaka kuwekeza kwenye biashara ya ufugaji wa samaki kisasa
  11. Madear

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Bonge la story ngoja na Mimi ni ache alama
  12. Madear

    JamiiForums Tanzania Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    Subscribed
  13. Madear

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    ....wakanipa elfu15 na card ambazo nilikuwa nimeshinda, nikaambiwa niendelee kucheza baada ya kuzifunua card nikakuta moja kati ya zile card nmejishindia generator, kimbembe kikaja kwenye kupewa ilo generator nikapewa option mbili niendenalo au niwauzie wanipe hela cash Kutokana na changamoto...
  14. Madear

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Mama aliniingiza mkenge
  15. Madear

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Hahahaha Mbwa kabisa na Mimi sitokuja kuwa sahau hao mahayawani Nilikuwa Mwanza kipindi hicho katika pitapita zangu nikawakuta maeneo, kosa nililofanya ni kusimama kuangalia nafsini mwangu nilikuwa nimejiapiza siwezi cheza michezo yeyote ya kamali wala bahati nasibu, nikajisemea sifa ya macho...
Back
Top Bottom