Recent content by MADE man

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    asante mkuu kwa ushauri daah yaani namuona shetani huyu hapa before sijaacha ukamaria nilikuwa na weight ya 50kg Immediately baada ya kuaacha sasa nina 75kg huyu shetani nitamshinda tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    My last bet was 31-2021 mpaka leo sijawahi place bet tena lakini kuna the urge in me inaniambia nirudi tena kwa odds 2 niweke laki wakuu niambieni si shetani huyu ?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante sana mkuu lakini nafikiri ishu si kuwa huna plans za kufanya ishu ni hiki kitu kwako ni uraibu kimeingiaje ni kitaweza kutoka. mkuu hapa ni wachache ambao tunakili na kukubali kwamba tunaili tatizo la uraibu wa kamari. kwa sasa siwezi nika stake pesa nyingi kama before lakini kurudia tu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwanini HUU UKAMARIA UKIUANZA KUACHA NI KAZI SANA NILIJITAHADI KUACHA KWA MIEZI KAMA MI 4 HIVI MFULULIZO LAKINI JUZI NIMEANZA TENA AND I HATE IT SO MUCH Sababu nimepoteza sana kuliko kupata yaani with in 5 Months nilipoteza more than 7 million AMBAYE HAUJAANZA HUU MCHEZO BORA USIANZE KABISA.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    maisha haya ni kusaidiana wakuu ukipata nafasi ya kusaidia ni vizuri kushare ni kucare nimeshea hii link hapo chini kwa ajili ya wazee wenzango wote wa kubet ambao kwa namna moja au nyingine betting imetufirisi kututesa na kutufanya tujikatae. asikwambie mtu hii compulsive gambling ipo na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Wavulana na Walimu wa kiume ndio waruhusiwa kurudi Shule za Sekondari

    binbaraghash I love you
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni busara nikimuacha huyu mchumba? Nampenda nipeni ushauri

    Dawa ni nayo lakini ni specific kwa mgonjwa ambaye hafiki huko kilele Nitumie namba yake pm nimpe.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

    i will tell you all about it, but not here
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. M

    JamiiForums Tanzania Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

    kunifanya nitimize ndoto yangu ya kipekee kuwa na wewe
  11. M

    JamiiForums Tanzania Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

    muda mrefu sana darlin naomba sana unisaidie please
  12. M

    JamiiForums Tanzania Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

    mambo darlin wewe ndiyo ndoto yangu naomba unisaidie ni itimize please
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani

    Jf ujinga umekuwa kwa kasi Sana nashawishika kusema japo sitasikika mtoa mada ni mjinga
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

    unasema unaamini utakuwepo baada ya miaka miwili hapo hapo hauwaelewi wanaoamini Mungu hii sio contradiction pia???
  15. M

    JamiiForums Tanzania Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

    Wamekubali nitumie no zao
Back
Top Bottom