Wamepeta hao ila wanafunzi wa toka miaka ya 90 hadi leo warudishe pesa za mikopo. Mafisadi waliokwapua pesa kipindi cha nyuma wanapeta tu.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wee Sio kweli. Kipindi manchester city amechukua ubingwa uingereza Aguero alihojiwa kwa kiingereza hakujibu chochote mpka akasaidiwa na Captain Company. So ni kawaida tu. Bado anaweza kujifunza akajua tu cha kunywea maji. Ni wengi tu wanaoweza kuelewa walichoulizwa halafu kukijibu kwa Kiingereza...
Huyu jamaa ni Maandazi kweli. Kwani back stage ilikuwa ya kwake peke yake? Mbona ile show ya Mombasa aliyovamia hakuzimiwa mic? Kule Nigeria kwenye tuzo za Africa Magic alipopafom na penyewe alizimiwa Mic? Kila siku tunaambiwa tutumie fursa zinazijitokeza mbele yetu. Kweli meneja anaejielewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.