Recent content by Madarida

  1. M

    Nyalandu anagawa kadi za CHADEMA misibani Singida

    Mbona hakuna picha anayogawa?
  2. M

    Siku Ester Bulaya akirejea CCM nitaenda kumpokea; yule ni asset!

    Nampenda Ester, no matter what
  3. M

    Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    Ifike mahali mambo ya siasa tuweke pembeni, Lema alistahili kuongea sababu ni jimboni kwake na mkumbuke aliacha kuhudhuria vikao kama siku tatu na alikuwa jimboni akihangaika na wananchi wake, kama mtu una chuki naye binafsi Sio kuzionyesha mbele za watu, kwa kilichofanyika hata mimi...
  4. M

    TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    Pole sana Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu
  5. M

    Je Mh. Halima Mdee ameshaolewa?

    I love u halima mdee, piga kazi mama
  6. M

    ITV mmewakosea sana watanzania

    Hata mimi nimeshangaa sana hakuna hata sehemu ilipoonyeshwa? Safari bado ni ndefu
  7. M

    Alichokisema Lissu juu ya kesi ya Wema

    Hii movie ikiisha sijui inafwata ipi??
  8. M

    Makonda aporomosha matusi kwa mhariri wa gazeti baada ya kuulizwa kuhusu cheti chake cha Form four

    Unaanzisha ugomvi wa mawe wakati unaishi nyumba ya vioo na unakimbilia ndani???
  9. M

    Kamanda wa polisi Dodoma: Hatuna mpango wa kumkamata Zitto, hajafanya kosa la jinai, anajishtukia tu

    Kwa wapinzani naona hawatakiwi kusema chochote, maana wakiongea polisi hao, Mungu tusaidie
  10. M

    Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Nakubaliana na Mh.waziri kabisa, maana hakina mtu anayependa haya madude, ila njia aliyoitumia sio sahihi,
Back
Top Bottom