Duh umenikumbusha miezi kama nane iliyopita, mwenzio niliblokiwa kuanzia instagram, facebook,na kote unakokujua ila nilipiga moyo konde nikamove on na yeye anaenjoy maisha na mtu wake, huku akiniacha njia panda bila ya kujua la kufanya
Naomba Mungu anivushe salama mwaka huu,ila nikushauri...