hii hata mimi nilifanya but still unajikuta utamuwaza tuuu!!!!!!Kuwa busy na mambo yako
Kuwa na marafiki muda mwingi
Epuka kufanya vitu ambavyo mlifabya pamoja na kurudisha memories
ivi unaanzaje anzaje kumuwaza mtu asiyekua na habari na wewe mkuu?mambo mengine ni kujiendekeza tu..wanawake kibao wako single na wanatafuta mabwana then we unakuja kujiliza humu!!
##chagua magufuri jamaa yangu###
Simply Kunywa Viroba Nakwambia Utasahau Kabisa Na Ukilala Unapata Usingizi Munono