Mtoa mada kweli hajui aongealo. Kwani kuwa prof ndio uhojiwaje? Acha ujinga man, hivyo ndivyo mwandishi apaswavyo kuwa. Tizama TV za nje muone mahojiano yanavyokuwa. Marin ni moja ya watangazaji bora TZ.
Hahahahahahàaaaaaaaaa kwikwikwiiiiiiii mwenye carina nae anajiona ana gari, mwenye vx atasemaje? ana kifaru au? acheni ufala. Mshikaji kauliza ili ashauriwe acha kumkashifu sababu una carina hujui mwenye vx anakuona boya tu barabarani? Mimi binafsi siwezi endesha carina man lol.
Hivi mbona wabongo mnamawazo hafifu hivi. Mbona mnawaza magari ya rahisi ya mjapan, mchina etc. Hivi hamuonagi machuma ya Mwingereza mjerumani etc. Mbona sijssikia mbongo kavuta hata toyota mpya sio mtumba wa mchina au mjapan? Acheni ushamba nyie.
Acheni uzuzu, demu mpenda hela mega then tembea. Unakaa nae wa nini wakati mzazi wako analia njaa kijiji? Wewe ulipokuwa unasomeshwa na mzazi yeye alikuwa anafundishwa kuchuna nini? Wapo mademu kibao wasiomind mkwanja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.