ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 444
Wanajukwaa kwa kumbukumbu zangu Mara ya mwisho ippmedia walikuwa wanapatikana channel zao za itv eatv Ndani ya king'amuzi cha EasyTv tuu kwa Tanzania, ila tangu 2014 January channel zao hazipo tena itv badala yake imewekwa channel mpya bollywood inaonyesha movie za kihindi na eatv badala yake imekuwa channel mpya inaitwa FILM, inamaana ippmedia hawataki tuangalie channel zao kupitia visimbusi Tanzania tena?