Recent content by MADAI

  1. MADAI

    Ardhi University "HAKITOI VYETI KWA WAHITIMU WAKE"!! (Certificates)

    Chuo kikuu Cha Ardhi bado hawajatoa vyeti vya "GRADUATES" Wahitimu wa kuanzia mwaka 2007 na kuendelea. Nimesikia kuna mgogoro kati yake na chuo kikuu cha Dar Es Salaam. Mimi ni mhanga mmoja wapo nimefuatilia kupewa cheti lakini sijafanikiwa , wanasema Wanashughulikia. Wahitimu hawana vyeti...
  2. MADAI

    Nitapata wapi ramani za nyumba Dar?

    Mimi ni Architect, Kama ukiwa bado hujapata mtu wa kukufanyia design ya Ramani yako waweza kunitafuta kupitia anwani ya Email hii. architectmadai@yahoo.com
  3. MADAI

    Architecture/Landscaping anatafutwa

    MAREKEBISHA KIDOGO , Sema natafuta Architect, sio architecture. Architecture ni kozi aliyosomea architect. Hivyo Architect ndio mtu anaye-design. tutawasiliana ktk email hii, architectmadai@yahoo.com ,
  4. MADAI

    Kiwanja Nusu heka tabata kinauzwaa

    Kiwanja kinauzwa kipo Tabata Segerea nyuma ya gereza la Segerea.Eneo wanita Bonyoko. Ukubwa wake ni nusu heka. kipo sehemu nzuri sana. bei ni Tshs. Mil. 15.8 kwa walio na nia ya kununua. architectmadai@yahoo.com kwa mawasiliano.
  5. MADAI

    Ramani za nyumba/ Architect available

    Asante Mr. architect, Rugas Nimesoma vifungu tajwa hapo juu. Nimekuelewa.. Ila ukichunguza katika majarida yote ya Construction utaona mengi na Utanielewa maana kuna vya kujifunza. architectmadai@yahoo.com Sheria ipo na nimekuelewa.
  6. MADAI

    Ramani za nyumba/ Architect available

    Nashukuru kwa ushauri. Nitafuatilia mawazo yote niliyopata. Asante. architectmadai@yahoo.com
  7. MADAI

    Ramani za nyumba/ Architect available

    Asante mkuu, nafikiri nikiweka hapa ktk jamiiForums ndio kuna watu wengi wataona na kutoa changamoto zaidi. Au ... architectmadai@yahoo.com
  8. MADAI

    Ramani za nyumba/ Architect available

    Poa, Tuombe uzima. Sample sio nzuri kwa vile utapewa Ramani ya nyumba ya Jirani. Mimi napenda tufanye Design kwa kushirikiana. mimi nitaweka mawazo yako ktk karatasi (Michoro). Hii itaepusha kupewa ramani zenye kufanana.
  9. MADAI

    Ramani za nyumba/ Architect available

    Asante kwa mawazo. Kuweka sample ni sawa ila nitaweka muda si mrefu. Kufungua website kwa sasa sitaweza maana ndo nimeanza nguvu ni ndogo. Bila shaka unaelewa kwa hapo.
  10. MADAI

    Ramani za nyumba/ Architect available

    Tunachora ramani za nyumba aina zote. Mfano; Residential Houses, Hotels, Resorts, Comercial Residentail (mix use development) na Office Buildings. Pia tunafanya interior Design na Landscape Design. architectmadai@yahoo.com
  11. MADAI

    Ushauri: Biashara ya Apartments Dar es salaam

    Ndio Mr. Yebo yebo, Mimi ni Architect, (Msanifu majengo). Naomba nami nichangie kidogo. Kwa mtaji wa 200ml, si mdogo sana itategemea na design ya ramani utakayopendekeza kuchorewa. Hii itategemea aina ya apartment utakoyopendekeza. ktk jengo hilo hilo unaweza ukaweka apartment za aina tatu...
Back
Top Bottom