Kiwanja Nusu heka tabata kinauzwaa

MADAI

Member
Sep 7, 2009
11
1
Kiwanja kinauzwa kipo Tabata Segerea nyuma ya gereza la Segerea.Eneo wanita Bonyoko.
Ukubwa wake ni nusu heka. kipo sehemu nzuri sana.
bei ni Tshs. Mil. 15.8
kwa walio na nia ya kununua.
architectmadai@yahoo.com kwa mawasiliano.
 
Hello mkuu Madai,
Nilifikiria nikiwa na us$ elfu 12(12,000) naweza kujenga Dar walau kibanda cha kufikia,hiyo bei ya kiwanja imenivunja nguvu kabisaa.Au hiyo nukta ipo baina ya 1 na 5 yaani isomeke TSHS Mil 1.58?Kweli bongo tumetoka zamani
 
Du!!! siamini yaani mimi nina tumilioni tunne sasa nitajenga kweli mimi mlalahoi du jamani kuweni na subira kidogo waliu useme maongezi yapo yaani hata Milioni Tatu hivi sio zote hizo au unamaanisha 1.58M? maana siku hizi maneno yapo mengi unazuga na hiyo kisha mtu akiingia laini unarudi mtaani kutamba hata bila kumuona Founder. na wana JF . Mzee badilisha uelekeo
 
Hello mkuu Madai,
Nilifikiria nikiwa na us$ elfu 12(12,000) naweza kujenga Dar walau kibanda cha kufikia,hiyo bei ya kiwanja imenivunja nguvu kabisaa.Au hiyo nukta ipo baina ya 1 na 5 yaani isomeke TSHS Mil 1.58?Kweli bongo tumetoka zamani

Size kasema nusu heka,yaani eneo hilo ni eka moja na robo ( heka moa sawa na eka 2.5), pili eneo lote la Tabata/segerea/kinyerezi usitegemee kupata kiwanja cha size ya nusu eka kwa bei unayosema wewe.

Hata hivyo bei ya jamaa iko juu sana mkuu. Angalia pengine.
 
Mhh duh bei hiyo si n'chezo alafu Tabata kulivyo na mafoleni ya maudhi dah hakufai kukaa kule.
 
Heshima Mkuu,
Nyumba ya kupanga inatafutwa maeneo ya Ubungo, Kimara au Mbezi, ya vyumba vitatu au viwili iwe na umeme, maji na kufikika kirahisi kwa gari au iwe karibu na main road.

Mtwangie Violet: 0716927070
 
Bei iko juu sana mmh Bora nikajichukulie ka plot kule Majohe kwa 1.5 M robo tatu ya heka
 
Size kasema nusu heka,yaani eneo hilo ni eka moja na robo ( heka moa sawa na eka 2.5), pili eneo lote la Tabata/segerea/kinyerezi usitegemee kupata kiwanja cha size ya nusu eka kwa bei unayosema wewe.

Hata hivyo bei ya jamaa iko juu sana mkuu. Angalia pengine.
Shukran mkuu,
Kwa mfano maeneo gani hapo Dar naweza kupata kujenga kibanda(including kiwanja+ujenzi) kwa hizo senti zangu?Anyway,nikishindwa kabisa nitarudi kule kwetu nikajihifadhi.
 
Shukran mkuu,
Kwa mfano maeneo gani hapo Dar naweza kupata kujenga kibanda(including kiwanja+ujenzi) kwa hizo senti zangu?Anyway,nikishindwa kabisa nitarudi kule kwetu nikajihifadhi.

Unataka viwanja holela au vya kupima? Kama ni viwanja holela nenda Chanika,unapata kiwanja kikubwa na kujenga banda lako zuri. Kifuru ni kuzuri sana ila viwanja holela viko juu sana. Vinginevyo nyoosha Mbagala,huko utajinafasi mwenyewe mitaa ya Kongowe.
 
nashauri jamani kutafuta viwanja/mashamba nje ya mji. This is the time, Land appreciates so fast. Bei huko poa sana.
 
Hiyo mbona bei ya kawaida kwa Tabata?....ingekuwa kibaha sawa, tabata value ya land pamoja na hata nyumba za kupanda/business zipo juu sana! Ukinunua hapo, unaweza kujenga viapartment zaidi ya vitano na ukavipangisha kwa kati ya Tsh 200,000 -350,000 kwa mwezi! ndo maana hata bei ya land ipo juu...na wajanja wanalijua hilo!
 
Jaman namii naomba m2 mwenyevyumba viwili yaan sebule na chumba awasiliane na mimi yale maeneo ya Tabata. Nyumba ya geti. Au namba ya dalali wa huko itakua msaada poa. Thanx
 
Jaman namii naomba m2 mwenyevyumba viwili yaan sebule na chumba awasiliane na mimi yale maeneo ya Tabata. Nyumba ya geti. Au namba ya dalali wa huko itakua msaada poa. Thanx

Mkuu vipi tena kula airport imekuwaje?
 
duh siku hizi kila mtu kawa fisadi, maana hizi bei zinazopangwa sijui kama tutafika mazee
 
@ Mndee tayari nlisha confirm base yangu itakua Dar. Sasa natafuta makaz ya kudumu sehemu fresh na kuna wa2 wameshauri Tabata poa, kuna mabomba ya maji ya kichina na mambo menginex2.
 
Marekebisho ya sheria za Ardhi mwaka 2004 ndio yameleta haya masuala ya Ardhi kuuzwa kwa mapesa mengi kiasi hiki. Hivi do you think Mtanzania wa kawaida kweli anayefanya kazi kwa Mchina au Serikalini ataweza kujenga? The fact is viwanja/Ardhi inapokuwa juu kiasi hiki implication yake ni kupand kwa bei ya materials za kujengea na costs za engineer na vitu kama hivyo. Tumetoka mbali lakini tumekuja kuishia karibu. Laiti waliotutoa uko wangekuwa hai na kuona haya Ardhi leo iekuwa shuka kwa vibepari fulani uchwara vya Kitanzania na hapo nje ya nchi. Mtu mmoja serikalini au kwenye taasisi binafsi ana mashamba kumi na tano hapa hapa DSM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom