Recent content by madabadaba

  1. madabadaba

    JamiiForums Tanzania Lugola: Kitambulisho cha Taifa ni lazima kwa kila Mtanzania

    Mwisho wa kujiandikisha ni lini?
  2. madabadaba

    JamiiForums Tanzania Wachina wawili wafurushwa nchini kwa kuwanyanyasa Watanzania

    CDM tunauliza, "itakuwaje endapo wachina hao wamewadunga mimba wadada kadhaa hapo Chunya, je wizara itawapa posho ya matunzo hao wadada?" Naona waziri kakurupuka tu.
  3. madabadaba

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru Ally: Watu hawana imani na mfumo wa upigaji kura

    Sio bure, huyu Dr ni pandikizi la CDM ndani ya lumumba street we must be careful Hapa hajadumisha fikra sahihi za mkuu wa CCM!!
  4. madabadaba

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mchungaji na wanawake 7 watiwa mbaroni baada ya kukutwa wakisali wakiwa uchi

    Picha za nini tena bwashee?!
  5. madabadaba

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi kuwasaka ma 'admin' wa 'whatsapp'

    Unafaa kupewa hiki kitengo mkuu, uwakamate kimya kimya huyo afande ameunguza picha kwa kutoa tangazo kwa media Hapo atakamata hewa tu😃😃😃
  6. madabadaba

    JamiiForums Tanzania Mjomba wangu kadhalilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Bunda kwa kupigishwa magoti mbele ya viongozi wenzake

    Mjomba ametuangusha wanaume lazima tulipe kisasi kwa mdada!!
  7. madabadaba

    JamiiForums Tanzania Mhubiri wa kimataifa, Nabii Shepherd Bushiri atabiri Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia

    Yesu mwenyewe atawapa kipigo acha waendelee kupiga njuru watahukumiwa kwa haki siku ya mwisho.
  8. madabadaba

    JamiiForums Tanzania Wasichana watatu wanatafuta kazi

    Kumbe hauko serious? Endelea kusubiri majibu 2020[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  9. madabadaba

    JamiiForums Tanzania Wasichana watatu wanatafuta kazi

    Wapeleke Canada kuna nafasi kibao za kazi huko . Bongo hamna nafasi za kazi.
  10. madabadaba

    JamiiForums Tanzania MBOWE: Tumeshajipa kibali cha kutangulia mbele za haki

    Na wewe endelea kujidanganya kuwa ccm inajenga nchi.
  11. madabadaba

    JamiiForums Tanzania Tunamchukia Makonda lakini anajitahidi

    kolomije [emoji1] [emoji1]
Back
Top Bottom