Mchungaji na wanawake 7 watiwa mbaroni baada ya kukutwa wakisali wakiwa uchi

mtu watu

mtu watu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Messages
2,115
Points
2,000
mtu watu

mtu watu

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2017
2,115 2,000
Mboga bila kitunguu haijanoga.
 
M

mwita ke mwita

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Messages
7,110
Points
2,000
M

mwita ke mwita

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2010
7,110 2,000
bila picha HII HABARI NI CRAP
 
Kibumbula

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Messages
3,002
Points
2,000
Kibumbula

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2018
3,002 2,000
Duu. Huyo ni noumaaaaa
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,372
Points
2,000
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,372 2,000
Big up wachungaji wote, hakika mnazitendea haki nyoyo zenu
 
kwa-muda

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Messages
1,186
Points
2,000
kwa-muda

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2018
1,186 2,000
Polisi katika eneo la Rukiga nchini Uganda, wamewashikilia wanawake 7 na mchungaji wao, kwa kusali wakiwa watupu ndani ya nyumba ambayo wao wamedai kuwa ndio kanisa lao.

Watu hao ambao wamedai ni waumini wa kanisa la Full Gospel wamekutwa kwenye nyumba ya mmoja wao anayejulikana kwa jina la Adah Kahababo, huko Rukiga.

Akizungumzia kukamatwa kwao Kamishna wa makazi wa wilaya Emmy Ngabirano na Mkuu wa Polisi wa eneo hilo, wamesema kwamba watu hao ambao ni wake za watu, wameshangazwa na kitendo hicho, ambacho licha ya kuvunja maadili, pia ni jambo la kushangaza.

“Tunaheshimu uhuru wa kuabudu, lakini watu lazima wafuate utaratibu wa kuendesha kanisa, watu waliokamatwa walikuwa wanaendesha kusanyiko kinyume na sheria, tena ndani ya nyumba ya mtu ambayo wamedai ni kanisa lao, sisi kama watu wa usalama hatuwezi kuliacha kwa sababu mwaka 2000 kuna watu walichomwa moto kanisani kwa tukio kama hili”, amesema Kamishna Ngabirano.

Hata hivyo waume wa wanawake hao wamesema wake zao wameyakimbia makazi yao kwa takriban wiki mpaka sasa, na kwenda kuweka kambi kwa Bi. Kahabado kwa ajili ya maombi ya usiku na mchana.

Waliokamatwa ni Mch. Agrey Elias Mubangizi, Adah Kahabado, Christina Arinda, Hope Nyamurungi, Apohia Tumusiime, Anna Mugabirwe, Angela Nyangoma na Moreen Nyangoma.
Sijui kwanini wanawake wanadanganyika kirahisi iwe kwenye mapenzi, utapeli hata kwa manabii na wachungaji makanjanja
 
Y

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Messages
1,399
Points
2,000
Y

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2011
1,399 2,000
Hii habari bila picha ni sawa na umbea
 
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
5,291
Points
2,000
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
5,291 2,000
Tarajieni miujiza tu kwa hao wanawake.
 
CaptainDunga

CaptainDunga

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2009
Messages
1,535
Points
2,000
CaptainDunga

CaptainDunga

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2009
1,535 2,000
Polisi katika eneo la Rukiga nchini Uganda, wamewashikilia wanawake 7 na mchungaji wao, kwa kusali wakiwa watupu ndani ya nyumba ambayo wao wamedai kuwa ndio kanisa lao.

Watu hao ambao wamedai ni waumini wa kanisa la Full Gospel wamekutwa kwenye nyumba ya mmoja wao anayejulikana kwa jina la Adah Kahababo, huko Rukiga.

Akizungumzia kukamatwa kwao Kamishna wa makazi wa wilaya Emmy Ngabirano na Mkuu wa Polisi wa eneo hilo, wamesema kwamba watu hao ambao ni wake za watu, wameshangazwa na kitendo hicho, ambacho licha ya kuvunja maadili, pia ni jambo la kushangaza.

“Tunaheshimu uhuru wa kuabudu, lakini watu lazima wafuate utaratibu wa kuendesha kanisa, watu waliokamatwa walikuwa wanaendesha kusanyiko kinyume na sheria, tena ndani ya nyumba ya mtu ambayo wamedai ni kanisa lao, sisi kama watu wa usalama hatuwezi kuliacha kwa sababu mwaka 2000 kuna watu walichomwa moto kanisani kwa tukio kama hili”, amesema Kamishna Ngabirano.

Hata hivyo waume wa wanawake hao wamesema wake zao wameyakimbia makazi yao kwa takriban wiki mpaka sasa, na kwenda kuweka kambi kwa Bi. Kahabado kwa ajili ya maombi ya usiku na mchana.

Waliokamatwa ni Mch. Agrey Elias Mubangizi, Adah Kahabado, Christina Arinda, Hope Nyamurungi, Apohia Tumusiime, Anna Mugabirwe, Angela Nyangoma na Moreen Nyangoma.
Habari kama hizi bila picha ni kuchafuana tuu.
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
12,845
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
12,845 2,000
Wachungaji na shughuli zao
Hii dunia tutasikia mengi kwa wachungaji

Mara watoto mara wake za watu
 
TADPOLE

TADPOLE

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Messages
843
Points
1,000
TADPOLE

TADPOLE

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2015
843 1,000
hivi kwanini waungwana humu jf unapenda kuanzisha siridi bila picha hivi ukipigwa ban utasema umeonewa? au tukiisusa siridi yako bila comment wala like utasema unatengwa?
 
Forum statistics

Threads 1,316,458
Members 505,652
Posts 31,891,081
Top