Recent content by maculture

  1. maculture

    Nahisi nilimegewa

    Two weeks kwa jamaa arafu co dadaake??ni ngumu sana kuwa salama kwa muda woote coz ni baba mtto wake ni lazma tu jamaa alinyuu namb ya zaman Sent using Jamii Forums mobile app
  2. maculture

    Kama ni wewe mwanaume mwenzangu hili tatizo ungelitatuaje?

    Wanaume tunaponzwa na busara zetu,pole sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. maculture

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Ruge anatokea wap?na rais anatokea wap?nafuta pesa mkuu haya mambo waachie wenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  4. maculture

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Kwa nn sisi tusio na elimu tunaachwa sana nyuma?my dear hv elimu unafikir ndyo kufanikio au mwanaume kuwa na elimu ya juu ndo maisha yatakuwa mazr kwako?my dear mtaan tupo wengi sana hatuna elimu tuna mapenz safi na tunajali sana ktk care ya mwanamke kuliko haaata haooo mnaowataka wenye maphd...
  5. maculture

    Nani tukacheze katitu?

    Ngja wenyewe waje wajuz wa mambo
  6. maculture

    Je, naweza kumshitaki mzazi mwenzangu?

    Ngoja wajuz wa mambo waje
  7. maculture

    Taja sifa za wanaume wa hapa JamiiForums

    Huo ndyo ukwel,co kila mtu anahivyo vitu ulivyosema.kwa mfno mi nipo nyutro kabisa cna kitu
  8. maculture

    Taja sifa za wanaume wa hapa JamiiForums

    Wangine hatuna haaata baiskel
Back
Top Bottom