Recent content by macson3

  1. macson3

    Mbowe: Kitendo cha CCM kuzuia mikutano ya hadhara ni ushuhuda kwamba wanatuogopa

    Mkuu hapa sijaona mikakati kama alivyoulizwa na mdau.
  2. macson3

    Nabii hakubaliki kwao; Hayati Magufuli na Watanzania

    Umeongea kitu kikubwa sana,kwasasa tunaona umuhimu wa kuondoka kwake Mkuu. Nje ya mada; Amesema Nabii sio Nabi wale wa upande wa pili msiogope ku-comment. Ahahahaaaa.
  3. macson3

    Riwaya: Barua Kutoka Jela

    Good job
  4. macson3

    Morogoro: Fumanizi la Wapenzi lasababisha kifo

    Baadhi ya wanawake wana roho mbaya sana hasa wanapotaka kuonewa huruma,yupo tayari kutoa machozi na akijua anaongea uongo,unaweza kukuta jamaa ni mumewe kabisa ila katoa maelezo hayo ili kikombe kumuepuke,siku jamaa akipatikana utasikia maelezo yake yanaweza kua tofauti na haya. Bahati mbaya...
  5. macson3

    Utitiri wa malori barabarani yanayoendelea kukatisha maisha ya Watanzania

    Treni ni moja ya njia salama na ingepunguza kwa kiasi kikubwa haya malori barabarani.
  6. macson3

    Mdee na Wenzake wawasili mahakamani kwa ajili ya usikilizwaji wa shauri lao

    Bora hata wafike wamechoka,mimi naamini hawatafika kabisa Mkuu.
  7. macson3

    Mdee na Wenzake wawasili mahakamani kwa ajili ya usikilizwaji wa shauri lao

    Wanasiasa wa vyama vyote hii inawahusu kabisa Mkuu.
  8. macson3

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kule kwenye group umetupiga pini hatuwezi kuchangia chochote kama vile tumelipiwa kujiunga.
  9. macson3

    Prudencia Kimiti ambae ni raia wa Uingereza na mtoto wa Waziri wa Zamani ashinda tuzo ya Malkia Elizabeth

    Kwahiyo ulitaka apelekwe Kigoma wakati kila mwaka huwa anakuja kuwafundisha wakuu wa TRA? Ungekua wewe ungekubali?
  10. macson3

    CCM na Bunge tumkatae Halima Mdee Mahakamani, Kesi ya Mbowe ya ugaidi ilituacha utupu na ilitufunza

    Kwa upande wangu naona wabunge wengi hawana msaada kwa taifa zaidi ya matumbo yao. 80% wanapiga porojo tu bungeni badala ya kuisimamia serikali. Nyinyi CCM(kama ulivyojitambulisha), tumieni akili vizuri uchaguzi ujao ila sio kuiba kura. Kura zikiibiwa yataibuka kama haya yaliopo tena.
  11. macson3

    Rais Samia ameanza kushtuka? Kwa wengi hakunaga kitu kinachoitwa nidhamu ya hiari

    Si aliona Simba wa Yuda anakosea,atulie tu.
  12. macson3

    Tabora: Profesa Lipumba anahutubia kwenye Ziara ya Rais Samia kama nani?

    Ila Mbowe kwenda Ikulu hauoni shida.
Back
Top Bottom