Recent content by Macnikia

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata ussd l/mmi code za Samsung Z fold 2

    Issue hapa ni kifaa USSD/MMI haitingi inaandika error zaidi ya *102# ndio inayokubali
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata ussd l/mmi code za Samsung Z fold 2

    Kwa wataalam sinu tajwa hapo juu siwezi ingia menu ya huduma mtandao husika mfano mpesa huduma za voda inaandika error na inakubali kuangalia salio pekee
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jinsi ya kufungua simu bila kureset, nimesahau pattern (aina ya simu ni lg velvet 5g

    Mwl mshana jr, nipo chini ya miguu yako, simu yangu samsung z fold 2 haifanyi kazi kwenye ssd code ukipress mfano menu ya huduma inagoma labda *102# pekee ndio inakubali, naomba msaada
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jinsi ya kufungua simu bila kureset, nimesahau pattern (aina ya simu ni lg velvet 5g

    Yes ni ya kwangu ndio maana sijataka kureset factory
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jinsi ya kufungua simu bila kureset, nimesahau pattern (aina ya simu ni lg velvet 5g

    Kama inavyojieleza hapo juu simu yangu nimesahau pattern na sitaki kufuta vitu vilivyomo, msaada kama naweza kuifungua
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Wazee nimeona kitu kikali sana yaani REDMI NOTE 10 PRO MAX wajuzi wa haya mambo mnakisemeaje hiki chombo? Cc Chief-Mkwawa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Google pixel na Samsung ipi ni simu ya kali zaid?

    Shukrani sana mkuu kwa ushauri ,umenipa mwanga unajua wengi tunanunua simu kwa sababu tu umeikuta dukani Chief-Mkwawa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Google pixel na Samsung ipi ni simu ya kali zaid?

    Naangalia camera,ram,inakaa na chaji,wepesi wa operations,tatizo mkuu hizo ulizoziorodhesha hazipakani kwenye maduka yetu ya uswahilini labda kama unaweza kunijuza naweza kupata wapi hizo nzuri? cc Chief-Mkwawa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Google pixel na Samsung ipi ni simu ya kali zaid?

    Mil 1.2 chief,shukrani kwa ushauri
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Google pixel na Samsung ipi ni simu ya kali zaid?

    Chief samahani naongezea swali jipya,nina budget ya kununua kati ya Samsung s10+,xiaomi mi note 10 au oppo reno 5.Nimeshindwa kung'amua kati ya hizo ipi inaweza kuwa feautures nzuri generally kupita zingine?.au kama kuna nyingine nje ya hizo nzuri kwa budget hyo. Natanguliza shukrani Chief-Mkwawa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

    Hajaendesha subaru XT huu ni moto mwingine kabsa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu " Deep State " ilivyo na inavyofanya kazi

    Kwamba?
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wazee wameusoma mchezo na wamechagua kuwa upande wa haki?

    Vipi mzee bado una hizi hoja zako?
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

    Naungana na mtoa mada huu ni uchaguzi wa kuwafurumusha wasaliti wa nchi hii, ambao wako kama walina asali wapo tayari nyuki tuungue wao waline asali HAIWEZEKANI!!
Back
Top Bottom