Recent content by mackjay

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mahudhurio Bungeni, Wabunge wengine wapo wapi mbona hata majimboni hawaonekani?

    Wapo huku Waswano by Night ! DOM kati!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama chama kimeshindwa kushughulikia na kumaliza issue ya wabunge 19 wa covid-19? Ni nini wataweza sasa

    Nimesoma comments kibao toka mwanzo wa thread mpaka sasa. Hoja nilizoona Watanzania ni watu fulani hivi (ma-dont care) Inawezekana inasababishwa na kukosa Elimu ya kujitambua na kujua haki zao. Mf. Walioweka kikokotoo na wanaotaka kiondolewe (bunge perfomance). Kumbukumbu katika ufuatiliaji...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jicho langu: Tabora walinyimwa goli halali kama la Aziz Ki

    Ulichoandika kama kinawahusu Yanga hasa hapo kwenye kubebwa tuanzie na ile ya Kagera Sugar
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kiungo konokono awazimia simu viongozi

    Mzee wa utopolo aliwapaga jina moja amazing......halifi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kiungo konokono awazimia simu viongozi

    Pamoja na kuitwa majina yote haya ila aliyetoa jina la utopolo final yàani tunanyumbulisha tu Utopolo Uto Utopwinyo Utopwax .......ongezea
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kilikuwa kinafanyika shuleni uliona cha kawaida, lakini umekuja kugundua ilikuwa unyanyasaji na udhalilishaji?

    Headmaster wetu alikuwa anakupiga Tanganyika jeki ya mbavu.....alikuwa baunsa flani hivi anakamata nyama za mbavu halafu anakunyanyua juu....akikuachia maumivu yake SI ya nchi hii!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuoa ni kugumu hivi? Aisee mniombee niko hoi bin taabani

    Bado ajasema
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

    Niina miaka mingi nimemaliza SUA lakini wakati mwingine naotaga nipo freedom square na wadau napiga pepa .....na unakuta inanikimbiza mbaya .....nilisoma zaidi ya f6 ...Sembuche ..Matofali .....Kalugila we acha tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

    Nilisoma SUA tulianza kozi yetu mtu 20 ...fist year to second year wakadisco 5 ....tukagraduate 10 live watano Waka carry Kwa sababu ya kushindwa kuchomoa tuta la semister ya mwisho ......wakaenda kuchomoa mwaka unaofuata baada ya miaka 3
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio maveterani wanaocheza NBCpremier league 2022/23

    Alikuwa anasoma Lupanga SS miaka ya 2000 katikati kabla hakahamia Dar kisoka Jamaa Bado umri
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

    Hivi ban ya miezi mitatu bila kupewa mzigo mnachukulia simple eh! Hii inakuw ni forced outcome Haina jinsi!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wa mikoa ya Pwani hawana minyama uzembe

    Mdau kama mwanaume na hujui hii kitu da! Umepishana na ndinga ya mshahara!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini miaka hii ya karibuni wanaume wanajipamba kuliko wanawake au kufikia kuwazidi wanawake

    "single mother effect" wanacopy kila kitu ....
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

    Gudude
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

    Gudude
Back
Top Bottom