Recent content by mack255

  1. mack255

    Kinana, Mbowe, Vuai, Mnyika, Chenge na Heche wajifungia kwa vikao vya saa 4 Courtyard

    Kikao Cha Walamba Asali Ukichukia alichokupa MUNGU , utalipata la shetani , ili ujue kutofautisha
  2. mack255

    Kwanini jamii ya Wayahudi inalindwa sana duniani kuliko watu weusi?

    Simon wa Kirene ( Aliyemsadia Yesu msalaba ) Mke wa Musa Mke wa Suleman ( Methiaopia )
  3. mack255

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa wadaiwa kuingilia Mfumo na kuonekana kama Wamelipa Ada

    Kizazi cha kwanza Cha Hackers kwa Tanzania , Niwapongeze waendelee hivyo hivyo , ifikie mahali hata hizi hela za benki na kodi wazile
  4. mack255

    Ijue Nehushtani, nyoka wa shaba aliyeabudiwa na Israeli

    Yohana 1 : 1 - 4 " Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. "
  5. mack255

    Waarabu na Wahindi wanawezaje ku-manage biashara kubwa wakiwa na umri mdogo?

    Mbona kuna watoto wakichaga wanawakimbiza hawa wahindi na waarabu
  6. mack255

    Ijue Nehushtani, nyoka wa shaba aliyeabudiwa na Israeli

    Wafilipi 2 : 10 - 11 " Kwa ajili ya jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu "
  7. mack255

    Elon Musk: Watumiaji wa Twitter kulipa ada ya $8 kila mwezi kumiliki blue tick

    We ni mjinga Tazama hisa za Google kama hazija shuka Tazama hisa za Tesla kama hazija shuka Tazama hisa za Amazon Kama hizajashuka Karibia ya 95% ya kampuni za tekno zimefilisika kutokana na uchumi wa Dunia kushuka
  8. mack255

    Elon Musk: Watumiaji wa Twitter kulipa ada ya $8 kila mwezi kumiliki blue tick

    Sio Google , sio Netflix na hata hao Tesla wenyewe unaowatetea Hisa zao zimeshuka. Nima kampuni ya tekno karibia ya 95% , Yana yanapitia magumu kipindi hichi Hadi kufikia kufukuza wafanyakazi wake
  9. mack255

    Elon Musk: Watumiaji wa Twitter kulipa ada ya $8 kila mwezi kumiliki blue tick

    Acha siasa , kwa Sasa kila kampuni hisa zake zimeporomoka , Cheki hisa za Netflix
  10. mack255

    Mliokulia kijijini poleni sana, mnakula vyakula duni sana

    Tufata Hela uache kukimbilia kwa ndugu
  11. mack255

    Hivi watanzania mbona mmekuwa majuha, kila kitu unaambiwa tafuta pesa

    Yoyote kwa Yoyote , Usisahau kutafuta hela
  12. mack255

    Nimeachana na vifurushi vya TIGO, hawafai hata kidogo

    Fiber ? Si mpaka uwe Katikati ya Jiji
  13. mack255

    Uchumi unaanguka, Rais Samia aambiwe ukweli

    Ichomoe kwanza ndo utaelewa
  14. mack255

    Elon Musk: Watumiaji wa Twitter kulipa ada ya $8 kila mwezi kumiliki blue tick

    But Kama PayPal ingekuwa ni baba wa online payment kama Google ilivyo baba wa Search Engine basi wangepiga pesa mingi zaidi ya hiyo.
Back
Top Bottom