mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,404
- 3,420
Kipindi cha awamu ya tano uchumi uliimarika na kuwa uchumi jumuishi.vitu vingi vilihimilika mfano gunia la mchele liliuzwa 50000lakini kwa sasa 120000,1kg yasembe ilikuwa 700-1000 lakini kwa sasa 1800-2000Uchumi wa Tanzania ulishawahi kukua lini hata ukaleta unafuu kwenye maisha ya watu wa kawaida?
Watz tumewazoea kila anapotawala mwislamu baaasi atadharauliwa mpaka na wapuuzi kabisa