Recent content by machomanne

  1. machomanne

    Tumia asali original kupunguza makali ya macho mekundu

    Tiba ya macho mekundu ni hii hapa. :- chemsha majani ya chai, Lita moja aina yoyote ( green label tea) ifanye strong , kisha ipoze iwe uvuguvugu usiweke sukari. Kisha osha macho Mara Tatu. (asubuhi , mchana, na wakati wa kulala.) Endelea kwa siku tatu utaona Matokeo bora.
  2. machomanne

    Namba 13 ina shida gani?

    Hiyo namba 13 inabeba mambo mengi. Ni kweli Katika karamu ya mwisho ya Bw. Yesu pamoja na wanafunzi wake ilifanyika ikiwa na washiririki walikuwa 13. Na ilimalizikia yuda iskariote kujiua. Lakini ni mtazamo tu. Katika nchi ya Amerika kuna LA mji kadogo kanaitwa "Salt Lake", ambapo Series za...
  3. machomanne

    Hivi watumiaji wa mtandao wa JamiiForums ni Maroboti ama Alliens?

    Tupo karibu na wewe hapo ulipo ila hauwezi kutuona , si unakumbuka ile sinema iitwayo Pedetor. Alipo predator, anaakisi rangi ya mazingira, hivyo huwezi muona.
  4. machomanne

    Fahamu kuhusu Bermuda triangle

    Maria Celestine , yatch ilipotea Katika eneo la Bermuda triangle na ikapatikana maili kadhaa nje ya eneo hilo lakini abiria na capteni hawakuwemo, na kila kitu ndani ya chombo hicho kilkuwa intact, Kama vile glass na chupa za pombe zilizokuwa mezani zikiwa bado mezani. Ni Kama vile watu...
  5. machomanne

    Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

    Ukristo, sio kanisa lolote lile. Ukristo ni kumuamini na kumfuata Yesu Kristo. Yesu Kristo, hapiganiwi, wala hasaidiwi na dini yoyote, taasisi yoyote, na wala mtu yeyote Yule, au utawala wowote ule. Yesu kristo, anajipigania mwenyewe, tena yeye huwapigania wafuasi wake, na wao wakabaki...
  6. machomanne

    Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

    Ukristo, sio kanisa lolote lile. Ukristo ni kumuamini na kumfuata Yesu Kristo. Yesu Kristo, hapiganiwi, wala hasaidiwi na dini yoyote, taasisi yoyote, na wala mtu yeyote Yule, au utawala wowote ule. Yesu kristo, anajipigania mwenyewe, tena yeye huwapigania wafuasi wake, na wao wakabaki...
  7. machomanne

    Mamba asingewekwa kwenye kundi la Super Predator hastaili kabisa

    Brother, mamba ni super predator bila ubishi, kwa sababu hizi. 1. Hana huruma kwa victim wake, 2. Haogopi mnyama anayekabiliana naye. 3. Vile vile, mamba Yuko accurate zaidi Katika kuwinda huwezi mlinganisha na Simba. Wapo wanyama ambao Simba huwawinda kwa taabu Sana na ikibidi huishia...
  8. machomanne

    Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

    Panya road wa Dar, ni kwa ajili ya watu wa Dar. Panya road wa miji kama vile Tarime, wakiibuka lazima watakuwa Wakali kuliko wakazi wa maeneo hayo. Usiwadharau watu wa Dar kwa sababu watu wa Dar, hawatembei na silaha kama vile sime na fimbo. Panya road wakiibuka kwenye miji ya watu wanaotembea...
  9. machomanne

    Nilikuwa naogopa kumtongoza; jana kumwambia akasema short time 5000 kulala 20000

    Uwe mwangalifu na picha unazoweka, huyo mwanadada aliwahi kuwa mgombea urais huko Rwanda akaondolewa kwenye kinyang'anyiro na Tume ya uchaguzi.
  10. machomanne

    Mbowe anapaswa awaombe radhi Watanzania

    Hata kesi ikirudishwa , mashahidi kina urio na kingai , fimbo lugoda iko pale pale.
  11. machomanne

    Ni kweli kuna utajiri wa nguvu za giza?

    Pesa hizo za mabulungutu utazipata kwa waganga kwa sababu wanatumia nguvu za Giza. Lakini ujue kuwa pesa hizo huzipati kirahisi hivo. Lazima utalipa kwa gharama kubwa Sana. Kama unataka pesa hizo, jiandae kwa matokeo haya . 1.kupata kidonda kisichopona (donda ndugu). 2. Kufa ghafla kwa Mzazi...
  12. machomanne

    Spika Ndugai sikukupenda kwa jinsi 'ulivyolihendo' Sakata la Kupigwa Risasi Tundu Lissu, ila Kujiuzulu Kwako leo nitakudharau hadi naingia Kaburini

    Namtahadharisha asijaribu kujitundika. Mtu akijinyonga haendi ahera wala kuzimu, bali atabaki akirandaranda makaburini hadi siku zake alizopangiwa zitakapotimia. Yeye atulie atumikie adhabu ya kiburi chake. Malipo ni hapa hapa. Muosha huoshwa. Alivomwosha T. Lissu, alifikiri kuwa yeye atadumu...
  13. machomanne

    Je, wawafahamu kwa majina Mamajusi waliomsaliti Mfalme Herode na kumnusuru Yesu kuuawa na Mfalme huyo?

    Watu wa Elimu ya nyota, waweza kuwaita astronomers au watazama nyota au wapiga ramli (fortune tellers).
  14. machomanne

    Je, wawafahamu kwa majina Mamajusi waliomsaliti Mfalme Herode na kumnusuru Yesu kuuawa na Mfalme huyo?

    Neno halisi ni Magi akiwa ni mmoja kwa lugha ya Mesopotamia , wakiwa wengi ni Magus. Kwa kiswahili ni Maju akiwa mmoja, wakiwa wengi ni Majusi.
  15. machomanne

    Msamaha wa Spika Job Ndugai utapokelewa na Watanzania?

    Kaomba msamaha wa mchongo. Tulisikia wazi wazi, akihutubia kundi la watu kwa mdomo wake mwenyewe, sasa nani alimtenengenezea clip ?. Mama Samia, chunga sana jamaa huyo ni mnafiki.
Back
Top Bottom