Recent content by macho_mdiliko

  1. macho_mdiliko

    Nini kinakwamisha kuongezeka kwa vituo vya Gesi asilia ya kwenye Magari?

    My point ni kuwa: kama utumiaji wa gas ni rahisi kuliko mafuta na perfomance ni sawa kwanini watu hawabadilishi magari yao yatumie gas kwa wingi ikitia maanani imeanza siku nyingi? Of course nazungumzia hii teknolojia ya kuongezea mitungi ya gas kwa sababu ndiyo hoja ya hii thread.
  2. macho_mdiliko

    Nini kinakwamisha kuongezeka kwa vituo vya Gesi asilia ya kwenye Magari?

    Hata mimi nadhani shida iko kwenye perfomace ya gari na siyo kukosa vituo.
  3. macho_mdiliko

    Nini kinakwamisha kuongezeka kwa vituo vya Gesi asilia ya kwenye Magari?

    Wanasiasa wanaweza kuzuia watu kutumia gesi kwenye magari yao kama ina gharama kuliko mafuta na perfomance ya gari ni ile ile?
  4. macho_mdiliko

    Nini kinakwamisha kuongezeka kwa vituo vya Gesi asilia ya kwenye Magari?

    Kwanini demand iwe ndogo wakati wanasema ina nafuu kubwa kuliko mafuta? Siku zote kitu chenye soko kubwa sidhani kama gharama za kuwekeza zinaweza kuwa issue. Watu binafsi wanajenga vituo vya mafuta kibao.
  5. macho_mdiliko

    Nini kinakwamisha kuongezeka kwa vituo vya Gesi asilia ya kwenye Magari?

    Hili linakushangaza wewe kama linavyonishangaza mimi. Kila siku kuna kelele kuwa ni ina nafuu kuliko mafuta lakini katu hakuna utekelezaji. Ulishajiuliza? Hao wabunge wanaopiga kelele magari yao yanatumia hizo gesi? Wenye mabasi kila siku wanalalamika kuwa bei ya mafuta imepanda sana, mbona...
  6. macho_mdiliko

    Ungekuwa na Mamlaka Serikalini, ungefanya nini kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumuongezea mzigo mwananchi?

    Ukipata uongozi makini wenye uzalendo, kupunguza matumizi ya serikali kunaweza kuokoa fedha nyingi mno. Posho, vikao, magari na nyumba, kusafiri nk yaani kuna kila njia.
  7. macho_mdiliko

    Ungekuwa na Mamlaka Serikalini, ungefanya nini kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumuongezea mzigo mwananchi?

    Hili naunga mkono. Nilishafikiria hivi siku nyingi sana. With technology, everything is possible. Kuna uwezekano wa kila mwananchi kuweza kufuatilia mapato na matumizi yote ya serikali kwa kutumia hii njia. Lakini nina uhakika CCM hawatakubali kwa sababu wanajua hawataweza kuiba kwa urahisi...
  8. macho_mdiliko

    Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Hili la kusema Afrika watu ndiyo hufanya kazi ngumu zaidi una uhakika nalo? Siyo kama zile zile story za kusema wanaokula ugali ndiyo wenye nguvu na wazungu ni legelege? Mimi nadhani Afrika ndiyo yenye watu wavivu zaidi. Kama umewahi kufika Ulaya au nchi yoyote iliyoendelea nadhani utakubaliana...
  9. macho_mdiliko

    Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Benki hazifanyi mambo kwa kubahatisha. Wana wanasheria na mikopo au dhamana yoyote wanayojihusisha nayo huwa wanahakikisha haitawageuka. Ila sijasema kuwa hakuna kitu kama hicho, bali nimeshangaa na kama iko hivi basi ni mtandao unaohusisha mpaka watu wa benki.
  10. macho_mdiliko

    Mrejesho; Miaka minne ya mateso sasa nimepona

    Unawaza ninachokiwaza mimi. Kuna wengi watamtumia private msg ''kumbembeleza na kumsihi'' awaambie aliponaje. Na hao ndiyo anawatafuta na ndiyo lengo lake.
  11. macho_mdiliko

    Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Hata mimi nimeshindwa kuunganisha dots hapa. Najua ni kweli nchi yetu ina namna nyingi za upigaji lakini kwa hili nimeshindwa kuona kama kuna mantiki.
  12. macho_mdiliko

    Tasnia ya Habari na vifo vya mapema, nini kipo nyuma ya pazia?

    Unatakiwa ufanye research kabla ya kuandika hivi. Wanahabari ni watu wanaojulika na watu wengi , hivyo vifo vyao ni lazima vitajulikana na watu wengi. Nikikuuliza ni madaktari au mahakimu wangapi wamefariki mwaka huu bila shaka utajua wale unaowajua ambao ni wachache. Daktari anajulika na...
  13. macho_mdiliko

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Wana-complicate maneno kiasi ambacho raia hawatakaa wayatumie kwa sababu ni magumu halafu hayaendani na vitu. Kwa nini hawashirikishi umma? Kwenye hii list neno walilolipatia ni kadikazi (business card). Ukiniambia mimi nitoe maoni yangu: 1. Charger - kichajio 2. Appertizers - kitiahamu 3...
  14. macho_mdiliko

    Je, ni sahihi mambo haya kufanywa na wanandoa?

    Ndoa ya aina hii haina amani. Ukiona ndoa imefikia stage hii basi ujue ina hali mbaya. Watu wazima hata kama ni kupishana kwenye kauli au mambo, haitakiwi mfikie stage ya kutukanana na kufokeana. Kuna namna unaweza kumwelekeza mtu na akaelewa vizuri zaidi.
  15. macho_mdiliko

    Tukubali kubadilika, Mifumo ya TEUZI ni chanzo cha Umasikini

    Really? Wewe ndiyo ungekuwa wa kwanza kujua tatizo letu la uongozi mbovu! Tukitaka kubadilika inabidi tu-deal na shina la tatizo na siyo matawi yake. Ukosefu wa ajira ni tatizo la uongozi wa nchi.
Back
Top Bottom