Mzigo mrefu sana nini?Hivi 1.5T noti za elfu 10 ukizipanga kwenye mstari ulionyooka zinaweza kufika kama km ngapi? kufika umbali gani je ukiujaza kwenye container za 40ft ngapi unaweza kutosha? Shida yangu nielewe wingi wa nzigo huu ulopigwa kisha nitachangia
Sikunyingine tujadili sababu zinazochangia wanaume wengi kuchepuka binanafsi niko kwenye ndoa sina mchepu ila nina sababu na mifano 10 zakutosha kuanamchepuko
Dah umeongea point ujeu nimechoka kuficha simu yangu ya pili pale kwa mangi dukani jioni wakati wakurudi nyumbani ili mama watoto asistukie kama nini mchepuko pia na mchepuko wangu usistukie kama nina mke duh kula 5 unaakili sana
Kujindanganya ni sawa na ndoto ya mchana kwanza tuko makundi mawili ya watu weusi kuna tulozaliwa waAfrica kuna weusi wamezaliwa nje ya Africa tukiwa pamoja wote tunafanana sema tofati nikubwasa sana kulingana na mazingira ya makuzi na maisha kwaunjula Tukija kwenye hoja ya ubora kati ya mzungu...
Mhuu naomba link nikitulia hii habari niipitie vizuri Kifupi ni kwamba ndenge kubwa zote waga wanapuliza unyunyu pili kuna aiconditin moja kalisa kwajili ya kuongeza ubaridi hewa safi pamoja kuvuta hewa chafu sio kama kwenye tran au basi nimesafiri sana ndege kubwa sio bombadia lakini
Chahali kama kweli ali dhulumiwa kwakazi yoyote iwe ya kampen alete mkataba wa makubaliano hapa JF tupitia kifungu kimoja baada ya kingine ili tuone pakuanzi kuchangi sivinginevyo akishindwa kuleta mkataba atakua ametumwa kumchafu mtu
Hapa kwetu tatizo kubwa ni sera nzuri kwakila nyanja watu wanaogopa kupoteza unaweza kuangaika na kilimo miaka nenda mika rudi ukatafuta soko ukaanda mzigo mala serekali imepiga marufuku kusafirisha mazo nje kisha serekali inakupangia sehemu ya kuuza mazao yako watu wanaogopa kufelishwa
Wewe ndio mzushi kwani zimeanzihapa kwetu mbona nchi kibao jirani wamezitumia kitambo na bei yake ni sawa na hii ya zamani tunayotumia uliza umbiwe kama ujui acha kupotosha watu nimekuambia usome habari za uchambuzi kuhu wizi unaendelea kwenye E-pasport inaniuma sana kwasababu najua mchezo...
Sio kweli kawadanganye wasiojua kwanza kabisa kunaufisadi wakufa mtu kwenye huu mradi wa E pasport kama ukusoma Gazeti la Jamhuri nimekutumia link usome mwenyewe wewe nimpotoshaji kama wapotoshi wengine ila hapa umekosea nina data hatari na ijua vizuri sana serekali ya CCM zaidi unavyo fikiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.