Recent content by Machiya


 1. Machiya

  Real Madrid V Fc Barcelona, From Santiago Bernabeu Stadium 23/03/2014

  Nabii wa Mpira duniani!!! #Messi#Messi#!!
 2. Machiya

  Naomba usaidizi wa ku construct research topic yaTeenage pregnancy

  Naomba usaidizi wa ku construct Research topic using the above Broad area. Tukumbuke SMART model yunapoconstruct hizo titles. Ahsante
 3. Machiya

  Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

  Ukishindwa kusoma UDOM kisa ugumu wa maisha huwezi kusoma chuo chochote TZ
 4. Machiya

  Tukio la Lissu: Dhana 3 za msingi ambazo zinatokana na ‘mchujo’ wa dhana mbalimbali

  Namshangaa tena sana mtu anyedai kwamba serikali si mtuhumiwa kwa kigezo kuwa Ripoti, ambayo ina faida zote kwao, wasingeweza kuichanganya na tukio hili la Lissu!!! Ni rahisi tu, ikiwa matukio yafanyika pamoja kwa kutumia wa pande mbili kinzani, ni rahisi upande mmoja kuonekana hauhusiki so far...
 5. Machiya

  Mwanaume, mapenzi bila pesa ni maumivu tu

  Habari wanajf Naomba kuuliza hivi mapenzi bila pesa bado yapo??? Na ni kweli kwamba mwanamke anayependa kuomba anakuwa hana upendo wa kweli Na Mwanaume huyo??? Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Machiya

  Msaada!!. Tuna mtoto wa miezi minne, unfortunately imenasa.

  Definitely!!! Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Machiya

  Ugali ni chakula kisicho na faida katika ubongo

  Kweli ww umeishia form two kusoma biology *end product ya starch siyo amino acids /protein kama unavyodai* starch is a polysaccharides of monosaccharides glucose, galactose or fructose. Mbili za mwisho ni isomers ambazo mwisho wa siku huwa glucose.
 8. Machiya

  Ugali ni chakula kisicho na faida katika ubongo

  Ugali wa mahindi ni "starch" au "wanga" ambayo huzalisha glucose, kama end product on hydrolysis. Kwa mnaokumbuka vizuri biochemistry glucose ni major fuel ya ubongo. Yaaani unatumia karibu 75% ya glucose yote mwilini hivyo kusema haina kazi "ni un-scientific" labda njoo na utafiti mpya au...
 9. Machiya

  Dr.Kigwangalla: Ukiwa hujui Sayansi unaweza kudhani mkojo hauna uhusiano na vitendo vya Uchochezi

  Kipi rahisi hapa kati ya uliyoyaandika na kusema tu TL alikuwa anatafutiwa Kesi itakayomnyima dhamana?? #Give the dog a bad name and hang it#. Sent using Jamii Forums mobile app
 10. Machiya

  Kuna Umuhimu Wowote Kwa Maalim Seif Kuendelea Kuwa CUF Kwa Hali Ilipofikia?

  Kwa hyo ahame chama??? Sent using Jamii Forums mobile app
 11. Machiya

  Kuna Umuhimu Wowote Kwa Maalim Seif Kuendelea Kuwa CUF Kwa Hali Ilipofikia?

  Habari wana jf; Kinachoonekana hapa ni dola kutaka kukisambaratisha CUF ili kama MS akihama chama wapate point ya kuongea kwenye majadiliano yake kukabidhiwa nchi ya Zanzibar. Endapo MS akiingia kwenye huu mtego asahau kuhusu kukabidhiwa nchi. Yetu macho, time teaches everyone when it comes to...
 12. Machiya

  Hata kama una haki....

  Unataka me nijiingize ni mtawala???? Wapeni ushauri wazingatie #utawala wa sheria na Utawala bora. Kwan kufuata katiba ni vigumu???? Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Machiya

  Hata kama una haki....

  Kwa nn nyie hamtaki kufuata #katiba ili yaishe??? Lissu anashinikiza mfuate katiba, yamewashinda??? Kwamba ni bora msitishiwe misaada ila katiba muiweke pembeni eee???? Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Machiya

  Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

  Ni aliyepo nje ya nchi na hayajui haya labda vingnevyo ameshikiwa akili Sent using Jamii Forums mobile app