Teh teh teh, labda ile naniliu walosoma wale wenye vibandiko vyeupe imeanza kufanya kazi.
Samahani nilikuwa napita tu naenda zangu kama ifuatayo:
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji118]
Umegonga penyewe. Maana kuna mshikaji huku niliko yaani tangia anunue cushions miaka zaidi ya kumi ilopita hadi leo hii ninapoandika ujumbe huu ziko darini. Huwa ni kwa ajili ya wageni tu.
Unapona vizuri tu bhana, huku kwetu mbona imetokea watu kuumwa na kifutu mara nyingi lakini wanatibiwa na miti shamba na wanapona. Ila ukicheleweshwa kutibiwa ndo inshu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchochezi huo ndugu.
Teh teh teh, nilikuwa napita tu naenda zangu kama ifuatavyo;
[emoji117] [emoji125][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.