Recent content by machiaveli

  1. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Njaa ni mbaya sana

    Wakatoliki wavaa vijora wamepaukaaa
  2. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wavuta bange wengi ni wahuni , matendo na akili zao zimepinda ?

    Acha mawenge mi navuta bangi Sana na sio mhuni wa ovyo nimeajiri watu zaidi ya 10 na ninaeshimika na jamii yangu
  3. machiaveli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Vichaa ni wengi hii nchi sijapata ona!
  4. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje mtu akikuhisi wewe ni jinsia tofauti na ulivyo?

    Hii avatar yako ni picha yako umetengenezewa na chatpt?
  5. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje mtu akikuhisi wewe ni jinsia tofauti na ulivyo?

    Testosterone imezidi au we ni upinde
  6. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Shindano kwa vijana wenye vipaji vya 2D & 3D animation

    Watakuja wengi si Kuna AI
  7. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Nimeandika kitabu cha namna ya kuwa tajiri ila nimekosa pesa ya ku print

    Nanukuu HAYABADIRISHWI
  8. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya Dstv kupanda kuanzia Agosti mosi 2025

    Temana nao
  9. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya Dstv kupanda kuanzia Agosti mosi 2025

    Acheni hizo
  10. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

    Vichalii vya alfu mbili
  11. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

    Sawa ostazi
  12. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Mtu akifa anaenda wapi?

    Sasa mkuu wangu kwa kufikiria TU kidogo ukifa mifumo yako yote ya mwili imekufa kuanzia ubongo,jicho mpaka moyo Ina maanisha hauna unachokijua wewe ni zero labda kwenye decomposition viumbe wengine waibuke kula hivo virutubisho vyako Sasa jibu liko wazi BIASHARA ITAKUA IMEISHA
  13. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Mtu akifa anaenda wapi?

    Wewe ukifa utakua na confidence au jeuri ya kujua unaenda wapi?
  14. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Mtu akifa anaenda wapi?

    Ningeona roho au nafsi at least ningemuelewa kidogo hapa naona miguu,mikono na viungo vingine kupitia macho
  15. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Mtu akifa anaenda wapi?

    Unachekesha sana mkuu kwaiyo kwa mfano Jana usiku nimeota niko las Vegas na snoop nilikua huko?
Back
Top Bottom