Recent content by Machakoz

  1. Machakoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

    Kwa nini usigenunua P2 ili uwe na uhakika kuliko nguvu ya coca,, [emoji23][emoji23][emoji23] huyo kakutega kubali yaishe lea mimba
  2. Machakoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe wanaume nao wanapataga siku zao kwa mwezi 😱

    Hizo ni special kwa kwenye matatizo ya kumwaga kojo bila kujitambua
  3. Machakoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilioa kwa sababu ya huruma kwa mama mtoto wangu

    Ww utakuwa sawa na Simba sckutwa kulalamika wameonewa
  4. Machakoz

    JamiiForums Tanzania Wazoefu nipeni ushauri. Shati la kitenge limeleta utata huku

    Usivae kama huyo siyo chaguo lako, kuvaa share ina kubwa kwenye mahusiano, haivalini tu ili mradi mpendeze bali unaijulisha jamii inayowazunguka kwamba nyinyi mapenzi yenu ni kitu kimoja
  5. Machakoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto wangu ana tabia ya kupiga wageni na kusema 'toka kwetu'

    Huyo itakuwa karithi tabia ya ichoyo toka kwa mzazi mmoja wenu hebu mjaribu kujichunguza kati yenu nani mwenye vinasaba vya uchoyo
  6. Machakoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano na mwanajeshi...

    Kwa hiyo wanajeshi ni malays
  7. Machakoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini hatma ya ndoa hii? Naombeni ushauri urgent

    Ukiendekeza mambo ya wanawake utakuwa zuzu wewe endelea na majukumu yako kama kawaida yeye aendelee kujifungia akichoka atatoka tu mwenyewe ila ukimbembeleza atajua huo ndio udhaifu wako utautumia kukutesa
  8. Machakoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    Ukiona hivyo na mkeo naye ana mtu anayemchetua huko nje ndio maana anakuona kama kaka yake yawezekana hata hao watoto sio wako
  9. Machakoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kumshonea mume wake mashati ya vitenge

    Kushonewa au kuvaa nguo ya kitenge na mkeo ni kuonyesha kwamba nyinyi ni kitu kimoja hakuna wa kuwatenganisha Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Machakoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mkwe anataka nimpe talaka mwanaye ili tugawe mali. Mama mkwe anaenda kwa waganga aniue ili mwanaye arithi mali zangu

    Dawa ya moto ni moto na wewe kawaroge
  11. Machakoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PAROKO KIRUMBA MWANZA KANISIKITISHA.

    tatizo waumini wengi huwa hamjui tungo tata,,,hapo padre alikuwa akimaanisha wenye vikwazo vya kiroho ambavyo wao wenyewe wameshindwa kuvitatua na kuwa sawa na vichaa,matahira nk. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Machakoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napata tendo la ndoa kutoka kwa mke wangu kwa shida sana

    Piga chini oa mwingine maisha yasonge mbele,,,kuna wanawake wanazitafuta ndoa mpaka wanatoa machozi ya damu sio muda wa kubembeleza huu bro
  13. Machakoz

    JamiiForums Tanzania Member mpya

    Hodi na mimi naomba mnakaribishe jamani
  14. Machakoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mwanajeshi ananiganda, hataki kuniacha

    Subili uliwe ndago
  15. Machakoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina wanaume watatu nilio nao kwenye mahusiano. Nimchague yupi?

    Huna haja ya kuolewa hata na mmoja wapo sababu hujawa tayari kuolewa wewe endelea na umalaya wako ongeza hata wafike kumi ni wewe tu
Back
Top Bottom