Recent content by Machakosi

  1. Machakosi

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Una uhuru na haki ya kupinga lakini Kupanda mlima na kupanda ndege sio research, na hili swala halija bagua mtu kwa sababu ya dini,
  2. Machakosi

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Hujui unachoandika kaka , unaandika jumbe ndeefu hamna point , na sidhani kama unauelewa vizuri huo mfumo wa heliocentric unaoutetea , usiandike tu vitu usivovijua
  3. Machakosi

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Okay hapa swala sio kuamini au imani, swala ni kujua kitu kwa uhakika , unaweza kuamini jambo bila kuwa na uhakika nalo ,, unaweza kuamini jambo au maudhui fulani na yakawa kweli kwa upeo wako ingawa hayaendani na uhalisia, lakini haimaanishi kwamba hayo mambo unayo amini yana uhakika na ukweli...
  4. Machakosi

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Sawa kabisa ,Embu prove Dunia ni tufe linalozunguka kwa mile 1000 kwa saa
  5. Machakosi

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Hakuna binadamu anayeweza kutoka nje ya dunia , binadamu akienda mbali sana anafika low earth orbit ambayo bado ni ndani ya anga la dunia , kitu unachotakiwa kufahamu ni kwamba anga la dunia au Firmament ni kitu physical na hiyo inathibitisha kazi ya Muumbaji ,
  6. Machakosi

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Baada ya kujibu swali unaongeza swali , mwezi na dunia ni vitu viwili tofauti vinavyo fanya kazi pamoja ,,, yani ni kama unajaribu kusema kwa sababu keki ina ngano kwanini andazi lisiwe keki , think twice
  7. Machakosi

    Dunia sio duara!

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare
  8. Machakosi

    Joshua alilisimamisha Jua

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare
  9. Machakosi

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    TIG Kwanza kabisa umesema kwamba the Bible is very clear about the earth being a sphere kitu ambacho ni uwongo Isaiah chapter 40 verse 22 inasema "22.He sits enthroned above the circle of the earth, and its people are like grasshoppers. He stretches out the heavens like a canopy, and spreads...
  10. Machakosi

    Kwanini vazi la Kaniki?

    kuna jamaa anadai aliona watu wanne wameshika usinga mwekundu wamevaa kaniki wanamkimbiza mtoto pia anadai kuona watoto wadogo misukule wamevalishwa kaniki,,, lakin anayo yaona anona yeye kuna mambo mengi mshkaji anadai kuona mara kadhaa vipi hapo mshana
  11. Machakosi

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    thibitisha Dunia ni duara... take your time and research alafu ulete majibu
  12. Machakosi

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Jifunze kwanza kiundani kidogo.. Kauli zako hazijitoshelezi
  13. Machakosi

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    haha we jamaa umenichekesha sana so wewe unadhani maji ya dunia yanaganda kama kwenye kalalmu ,,,yani kwamba maji ya bahari zote na maziwa yote alaf kama ulivo soma kuna mtu kasema anaishi makete na analiona ziwa nyasa ambalo lipo 70 kms away na kumbuka curveture inaanza kuonekana after every...
Back
Top Bottom