Recent content by maccoy

  1. maccoy

    JamiiForums Tanzania Wazee ambao umri umeenda na hawajajipata Dar es Salaam The best and wise choice ni kurudi kijijini.

    Bora kijijini, angalau hakuna pressure ya rent na Pilau la harusi lipo kila weekend
  2. maccoy

    JamiiForums Tanzania Aisee Watanzania tunatukana, hivi ni kawaida au?

    Siyo poa
  3. maccoy

    JamiiForums Tanzania Nasaha za kila nyota wiki hizi

    04/12 ni nyota gani boss
  4. maccoy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje binti huyu asije kunipiga tukio?

    Ndo ivyo mkuu... hivi vitoto bado havijui ni nini vinataka vinachosha sana
  5. maccoy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje binti huyu asije kunipiga tukio?

    Hawanaga formula hao.. chamuhimu kula mbususu pita ivi[emoji28][emoji28]
  6. maccoy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje binti huyu asije kunipiga tukio?

    Hawanaga formula hao.. chamuhimu kula mbususu pita ivi[emoji28][emoji28]
  7. maccoy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Kweli lakin in short single mother wanateseka sio utani
  8. maccoy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Wauwawe tena aisee... kuna waliojikuta single mother wao bila kupenda..
  9. maccoy

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukutana na balaa la nyoka?

    Nyoka ni hatari jaman.. tena usiombe ukutane naye akiwa kwenye mawindo yake
  10. maccoy

    JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Tena anatakiwa afungwe simba mpka achanganyikiwe
  11. maccoy

    JamiiForums Tanzania Jambo pekee ambalo najutia ni kuoa, hususan kwenye umri mdogo

    Apo ni kukaza tu .. unaeza ukaoa ukiwa na 40+ na bado ikawa ni tabu tupu
Back
Top Bottom