The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,436
Bonjour,
Nyie wazoefu wa kudate na hivi vitoto vya miaka 20s nipeni experience basi. Maana kuna kitoto kimoja cha Kisukuma nimekielewa kinoma, yaani huniambii kitu, dah!
Naogopa asije akanipiga tukio halafu mjuba hapa ndio nimeshakolea, na mpaka sasa kashakula pesa zangu kadhaa. Nipeni mbinu anione mimi ndio kila kitu, asichomoke, maana hivi vitoto akili zao hazijatulia, kutokana na ukosefu wa experience za maisha, naogopa vile visharobaro vya IFM vivaa supra visije vikanichukulia.
Yaani kama atatulia nina plan ya kumuweka ndani, maana nataka nitulie nacho, kama nyuchi nimepiga nyingi sana.