Recent content by macarina

  1. M

    Mwanaume unaanzaje kuwa na wivu na mkeo?

    Siku zote asiye mwaminifu ndiye anakuwa wa kwanza kutomuamini Mwenzake.
  2. M

    Mwanaume unaanzaje kuwa na wivu na mkeo?

    Usiangalie upande mmoja. Wanaume je. Hawagawi? Na kama wanagawa, je. Wanakumbuka kuwa wake zao wanaumia wakijua? Kila mmoja anamoyo na kama kuumia wote wanaumia. Huduma umpazo hazigharamii maumivu ayapatayo mkeo akijua kama unawapa wengine.
  3. M

    Kiongozi wa majambazi wanaovamia mabenki ni huyu?

    Mkononi kuna pingu na saa ya dhahabu.
  4. M

    Usomi wa Rais Magufuli na Kasumba ya Kiingereza

    Inaonekana hata hiyo Shule hujasoma au elimu yako ni ya kufuta ujinga tu. Waliopitia wanaelewa kinachoendelea.
  5. M

    Usomi wa Rais Magufuli na Kasumba ya Kiingereza

    Acha kudumaza akili yako. Mikutano hiyo wanaingia wanaojua kingereza tu? Kikao kilicho na tija kwa taifa na kikao cha kuuza sura tu anavijua mwenyewe. Alokuwa na bidii ya kuvihudhuria bado hakutufikisha tunapopataka. Chacharika watoto wale. Ukiwa na ya kukuweka busy utawaza mambo muhimu tu.
  6. M

    Usomi wa Rais Magufuli na Kasumba ya Kiingereza

    Kama kujua kiingereza ndo kusoma, ina maana wachina, wajapana, wakorea wajerumani na mataifa mengine Ambayo hawaongei kiingereza hawajasoma? Mbona wameendelea kuliko hata sisi tuanotumia nguvu nyingi kulazimisha kujua kiingereza? Badala ya kudeal na maendeleo ya kiuchumi tunakomalia kujua...
  7. M

    Najichukia uso wangu

    Una tumia akili nyingi kuutafakari uso wako, tumia Muda huo kufanya issue za kutafuta pesa uwe kama bilget uso utakuwa mgumu wenyewe.
  8. M

    Makonda nilikuchukia ulipompiga Warioba, sasa nimekusamehe

    Wamelikusudia ambao ndo wenye biashara wamekubali. Ingekuwa hasara wangekataa. Hapo ni sawa na mtu anapotaka kuanza biashara a kamuuliza mfanyabiashara kama inalipa, Siku zote mnajibiwa biashara hakuna au ni hasara tu. Sasa kama ni hasara kwa nini hawaachi? Au mbona tunaona mambo yao yananda...
  9. M

    Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

    Bora we umejiongeza.
  10. M

    Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

    UJUMBE: kwa wale wenye tabia ya kuchonokoa simu za wenzi wao watambue kuwa watakutana na meseji nzuri zaidi ya hiyo! Hivi wewe kuchukua simu ya mwenza wako, si unatafuta BP za haraka haraka ufe na mwenzako abaki anatesa!!! Kujua siri zake si kutatua tatizo. Na hata ukimfunga kamba bado...
  11. M

    Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

    Huduma zote mnawapa za kuridhisha? Tatizo mmefanya lawama kwa wanawake kuwa sifa. Unakuta Jamaa nyumbani hatimizi wajibu wake ipasavyo lakini akija JF analalamika na kujifunya yake yote anatimiza. Hata ambaye anakwenda kama kuku akija huku anajisifu eti anahudumia. Mnatudanganya sababu hatuoni...
  12. M

    Nihukumu mimi: Nimemuacha mpenzi wangu kisa ni msomi, sasa najuta

    Inaonekana kuanzia mwanzo mwanamke unamchukulia kama kiumbe kisicho na moyo ndo sababu hukuona wala kuthamini mchango wa huyo mchumba kwako. Na kwa maana hiyo hata ukioa utatumia kila ushauri unaopewa na watu wa nje ya familia yako. Kuwa mwangalifu kuanzia sasa.
  13. M

    Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Ndo ya kitanzania. Mengine tunaiba ya wazungu na Warabu.
  14. M

    Rais Magufuli atumbua mapapa wa Madawa ya Kulevya (unga)

    Kwa kuwa huna uhakika ni vema ukipita kimya. Wapo humu wanaoishi jirani na nyumba hiyo. Na wameiona tangu inajengwa.
  15. M

    Fanya makosa yote ila usije fanya hili

    Mambo mengine chukulia easy. Ukishikia bango kila kitu utakosa wa kuishi naye.
Back
Top Bottom