A
Acha ty mi mwenyew najilaumu kila nikikumbuka solana...toka January solana ilkua $ 8-9 sasa hv ety $ 110+...mwaka huuu mwanzon ethereum ilkua $ 999 sasa hv 2300... bitcoin $ 16500-17000 sasa hv $ 43000
Ila ungesubiri zishuke kwanza ndo ununue
Ishu nyingine ni kuhusu vyuo/admission capacity kuwa ndogo kwenye vyuo vya serikali....wa diploma nafasi zile zile toka miaka iyo na nafasi za waliotoka form six ni zile zile wakati sasa hivi watu wanaomaliza diploma na six ni wengi mno ko inapelekea wengi kwenda private kwenye ada kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.