Recent content by Maboso

  1. Maboso

    Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

    Nimejikuta naikumbuka hii movie
  2. Maboso

    Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

    Wewe ni mpuuzi
  3. Maboso

    Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

    Ulitaka aweke matangazo mitaani kuwa kakimbiwa na mkewe? Ukikimbiwa na mke unapata mwingine, wanawake wapo wengi.
  4. Maboso

    Rais Samia: Viatu vya Hayati Rais Magufuli ni vikubwa kwangu

    Kwani barabara ya Kimara Kibaha imekwama nini? Kwa nini wafanyakazi wa ujenzi wa BRT Mbagala wanagomagoma? Kwa nini SGR haiishi?
  5. Maboso

    REA na ucheleweshaji usambazaji wa umeme

    Maneno kuwa Magufuli ni dikteta yalitawala sana kipindi cha uhai wake. Namuomba Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
  6. Maboso

    Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Huyu jamaa siyo mjinga, kuna ujumbe alikuwa anaufikisha. Vyombo vyetu vya usalama vinabidi kwenda extra miles, wasiishie tu kusema tumemuua.
  7. Maboso

    Kamati ya Bunge itakayomuhoji Gwajima ijiandae kukutana na majibu yatakayowaacha wakiangaliana

    Kwani serikali wanapata shida gani kumjibu maswali yake?
  8. Maboso

    Tunapopoteza Matajiri 5 ndani ya wiki 1

    Serikali ipo busy na midahalo ya chanjo
  9. Maboso

    #COVID19 Hoja za Askofu Gwajima kuhusu chanjo ya Corona hazina mashiko, isipokuwa zina agenda nyingine nyuma yake

    Acha kuleta siasa kwenye afya za watu. Hizi siasa peleka huko kwenye miamala ya simu na siyo kwenye suala linalogusa miili ya watu. Kabla ya Gwajima kuleta tafiti zake, serikali ndiyo ilipaswa kuja na scientific research evidence kwamba hizo chanjo ni salama.
  10. Maboso

    #COVID19 Mchungaji Gwajima ni wa kukamatwa na kufunguliwa kesi ya Uchochezi, Uhaini na Ugaidi

    Aliyeanza kutugawa ni Samia ambaye amejifanya kama hakuwa kwenye serikali ya Magu. Lakini pia hao unaowaita wataalamu wetu hebu tupe uthibitisho ni lini na wapi walifanya utafiti na kuona hizo chanjo zipo salama? Ziko wapi scientific research zao zinazonesha chanjo inayogusa DNA/RNA ipo salama...
  11. Maboso

    Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

    Wapinzani fanyeni siasa kwenye majimbo yenu. Wenzenu CCM wanapita kwenye sehemu zao za kiutawala Chadema nendeni Nkasi Kaskazini Cuf nendeni Mtwara Vijijini ACT nendeni Zanizibar
Back
Top Bottom